ESCROW: Jaji Werema ametangulia mbele za haki David Kafulila anakumbukwa kwa ushujaa aliounesha?

View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA

Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,

Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.

Sitaki kurejea sakati lile, Ila..

Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.

Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.

Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?

Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.

Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?

Mungu ibariki Tanzania,

View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_

Kafulila anafaa kuwa Waziri Mkuu zaidi kuliko Rais,

I stand to be correct 🙏
 
Kafulila anamisimamo sana naamini kama atatulia CCM atafika mbali sana kwenye Taifa hili
 
Kama mke wa Kafulila anayelala nae kitanda kimoja huku akimkuna kitambi hana imani na Kafulila na anamuona ni mwanasiasa asiye na msimamo wewe chawa utatuambia nini?View attachment 3188727
Kafulila kwanini alimwacha Jesca au Jesca ndio alimwacha Kafulila?
Hii kitu inampotezea sana Kafulila credibility,
Kafulila aoe rasmi ili watu pia warudishe Imani nae hasa kwenye mambo haya ya siasa
Kuhusu Urais Kafulila anahitaji muda Zaid
 
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA

Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,

Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.

Sitaki kurejea sakati lile, Ila..

Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.

Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.

Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?

Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.

Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?

Mungu ibariki Tanzania,

View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_

KAFULILA kwani Yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom