Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Esma Platnum amefanya exclusive interview na Zamaradi amefunguka mengi kuhusu ndoa yake iliyopita

Hata kama ni hasira lakini kwa mtu uliyelala nae kitanda kimoja huwezi kufunguka namna ike na unajua kipindi kitarushwa. Msizwa hata j
Kama alikwenda kimaslahi u Tandale aliokutana nao hana hamu.
[emoji23][emoji23][emoji23] wale bado wana utandale sana
Ni kama maisha wameyapania
Yeah huyo dem kafunguka sana khs jamaa
Na kaamua kufunguka baada ya kumwagana
Huyo jamaa naye sijui alilenga kitu hapo alikuwa kimaslahi[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Msizwa sio mwongo ni jambazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hali anaiona sahv hakujua tokea mwanzo
Kwann mambo personal anamwaga hadharani

Ova
 
Huyo mwanamke bado ana uswahili sana utandale bado wanao hao
Hakutakiwa toa siri za mwanaume hivyo

Ova
Haina madhara sana, hawana hata mtoto atakae kuja kuumia
Msizwa mswahili wa Tandika Esma mswahili wa Tandale.... Yaani hao wamekutana pipa na mfuniko wake 🗑💣

Wacha waendelee kutoa burudani maana kule Msizwa anamwaga ugali huku esma anamwaga mboga 😂😂😂
 
Huyo mwanamke bado ana uswahili sana utandale bado wanao hao
Hakutakiwa toa siri za mwanaume hivyo

Ova
Hakika kabisa mkuu,,

Huyo mwanamme watu wote wa south wanajuwa shughuli zake,,
Na watu walishangaa sn pesa za watu za biashara akaziingiza kwenye mambo yake binafsi..
Mfano narusi na kufunguwa cafe.

Lakini watu mikausho tu..

Lakini yeye asma kuvuliwa dera na kulazwa miguu juu siku mbili na kuachwa anabwabwaja hovyo mambo ya siri za family,, haoni kama itamletea mwenzie matatizo?
 
Ila huyo Msizwa nae maneno meeeengi, usanii mwingiii, janjajanja tuu

Hongera kwake Esma kwa kutumia akili yake sawasawa vinginevyo angempelekea lile bag yule M-Pakistan kule Zanzibar angeweza kuwa na mama wa vibubu segerea

Na zile tuhuma za Mange sio za uongo
Msizwa amekaa ki mission town sana
 
Hivi hilo tendo kwani kwa mwanamke linakuaga ni udhalilishaji au ni starehe kama ilivyo kwa mwanaume[emoji41][emoji41][emoji41]

Maana hiyo comment ni kama vile ni kitu cha kudhalilisha esma
Udhalilishaji upo wapi hapo?
 
Ila mume ndio afaa kuongea Siri za mke! Alianza msizwa kuongea shit....
Shit kama zipi?

Hivi unajuwa kama kuna siri zingine unaogopa hata kuzitoa?
Hata mtu akufanyie nn..

Mwanamke mwenye utimamu wa akili asingeongea mambo ya madawa ya kulevya kwa mumewe
 
Ila huyo Msizwa nae maneno meeeengi, usanii mwingiii, janjajanja tuu

Hongera kwake Esma kwa kutumia akili yake sawasawa vinginevyo angempelekea lile bag yule M-Pakistan kule Zanzibar angeweza kuwa na mama wa vibubu segerea

Na zile tuhuma za Mange sio za uongo
Dada wa taifa haongopi[emoji848]
 
Speed ya Msizwa ilikua kubwa sana, uncle Shamte anajua kula mdogo mdogo. Sasa yeye hata miezi sita ya ndoa haijafika anataka Diamond awe ana perform Msizwa Lounge.
[emoji28][emoji28][emoji28] fasta fasta
 
Tujitahidi kusomesha watoto wa kike,huyu dada ni bogus kuna vitu anaongea anaonekana hajui hata madhara yake,alisema ametoa mimba ila baada ya kuambiwa unajua unaweza kufungwa?ameita interview nyingine alafu anatoa boko lingine la biashara ya mumewe,yaani huyu Mmasai anamtumia vijana wa kumhoji dk 0
Kichwani ni triple 000
 
Back
Top Bottom