Pre GE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuwafikisha yeye na nani? Mbona sio wanachama wetu hao,sio CHADEMA nyie
 
Yes! Nyumbani ni nyumbani.
Hongera mheshimiwa Bulaya umepeleka msg CCM ambapo uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti na Makamu haukuwa huru na haki.
Msg send!
 
Wewe washakula Tako lako? Maana unavyosifia ujinga mpaka unatia huruma.
 
Sio Kila kitu Cha kujibu.
 
Wawe wanachama wa kawaida
 
Wakimaliza muhula wa bunge wanajiunga chadema, utakataa?
Uanachama unaomba kwa baraza kuu, sasa unadhani wale wajumb waliomkataa Mbowe ndio watawakubali hawa wahuni?;

Na tukifanya kosa kuwapokea ndio watarudia tena na wengine usishangae kusikia NTOBI kachukua fomu ya kugombea urais NEC kwa udhamini wa chadema hata bila ya mkutano mkuu kumpitisha!!
 
Hawa wanataka kuleta agenda ipi na mwenyekiti wetu , washindwe na kulegea
 
Wajameni, kiukweli mimi namzimikia kwa kumkubali sana huyu mdada mpaka basi!.

Angalia nilianza nae lini na akiwa wapi ?. Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!

P
 
Mimi mwenzenu jamani huyu mdada,sio tuu namkubali kichizi,bali kiukweli, 。。。,, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…