Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Jamani kumbe mimi siku zoote hizi nilikuwa nyuma sana. Miaka yote hii nikisikia mabeberu nilikuwa naelewa ni mheshimiwa Jiwe na Bashite
 
M
Mwalimu JKN alikwisha tabiri kuhusu wanasiasa wenye ' Tabia za Kimalaya Malaya'
 
Kua na akiba ya maneno dada, haya uliyoandika nakushauri uyafuta sasa hivi. Chukuabushauri wangu kama unajithamini.


Sent using Jamii Forums mobile app
Unanipa ushauri avatar yako tu ovyo. Em nenda kadhauri mtu mwingine kwanza ukimaliza urudi tuongee. Kama ni kutafutwa tayari natafutwa sana tu hata pm wanakuja wakijifanya wadada ili nitoe namba za simu.
 
Inasikitisha.OVA
 
Bulaya anajisahau sana,hata ukiwa mpinzani kuna makombora ya kurusha
Huko ni kujivua nguo hadharani
Angesubiri Halima Mdee aongee ndio na yeye aongee. Sasa si unaona kaongea pumba tu. Kile cheo wamempa tu lakini hakimudu. Yaani cheo alikuwa nacho Lisu mwanasheria mbobezi, leo cheo hicho hicho anapewa dada wa form 4 aliyesomea uandishi chuo cha times pale Buguruni malapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, mimi sometime huwa nawish tungeendelea kutawaliwa na wakoloni kozi atleast wao walileta maendeleo kwa haraka sana ukilinganisha miaka 50 tuliokuwa na uhuru.

Assume mpaka sasa tunamfumo wa elimu tulioachiwa na wakoloni alafu tunasema tupo huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitaka hela zao anawaita wahisani au wafadhili wa maendeleo.Akitofautiana nao mawazo anakumbuka historia ya darasa la tatu na kuwaita mabeberu.Hahahahahaaa
 
Mabeberu wako busy kuokoaa maisha ya watu wao ni wengine ila utaona maajabu ya jiwe eti wanatumiwa na mabeberu loh.Najiuliza hv huyu bwana mkubwa asingeenda shule angekua na tabia za ajabu zaid ya id amin.Kuna kauli anaongea mpk unashangaa alivyoinconsistency kwenye hoja zake unapata tafsir kwamba anajiona anajua kila kitu wakati anajifedhehesha. A Boss is always right hajaielewa vzr
 
Yule aliyetoa amri wabunge wanawake wapigwe na TISS waliovaa mavazi ya magereza na kuvunjwa vunjwa? Yule aliyepania wabunge wafungwe hola hatia? Yule aliyeruhusu Alina mawazo wakatwe mapanga na mashoka? Yule aliyeagiza Ben saanane auawe? Yule aliyeagiza watu zaidi ya mia mbili wazamishwe baharini kwenye viroba? Yule aliyeagiza mbunge kupigwa risasi arobaini? Yule aliyekataa aliyetaka kuombewa asiombewe? Yule aliyeagiza mgonjwa asitibiwe?

HUYO NI AFADHALI SHETANI ACHA BEBERU. HUYO NI SHETANI MWENYEWE BULAYA MSIMTUMIKIE SHETANI
 
Duh noma kajidhihirisha waziwazi
 
Ujumbe murua kabisa......!! Si CCM wanadai kuwa Wapinzani wananatumiwa na Mabeberu....!! Tatizo Yohana hatafurahi kusikia hayo.... Dada ajiandae kuhojiwa na kulala mahabusu.
 
Hivi ni nani nchi hii hatumikii mabeberu?
 
Hushangai yule aliyewaambia watumishi wake

Hawa musiwabomoleshe nyumba zao kwa kuwa walinipigia kura

Wakati huo huo ameboa nyumba zetu Morogoro road.
Isnt it obvious that the guy is sick ?
Hawalioni hilo mkuu. wanaona za wapinzani tu. Kimara walibomolewa, lkn Mwanza hawajabomolewa. Tufunike kombe mwanaharamu apite
 
Niko hapa na barakoa na sabuni na maji huku nawasikilizia watawala wetu
Tatizo watawala wetu bana wanatupenda tukiwa hai
 
Mkuu, kwani wewe unaelewaje the term 'mabeberu'?
Sijajua hasa wewe unaelewaje mkuu Ila mimi ninachojua hawa watu kwa miaka karibu 200 walikuwa wakituuza masokoni kama nyanya na kuku wa kienyeji kwangu Mimi hawana jema hata kama wakitupa misaada lakini najua misaada hii ilitokana na babu zetu kuuzwa kama viazi.

Africa was became the hunting ground at that time.
 
Nadhani wewe utakuwa ni mmoja wa wale wa kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu Africa.
 
Mabeberu ndio tunaowaomba watupe mikopo isio na riba au watusamehe kulipa madeni kipindi hiki cha corona.
If Europe is what it is, it is because of Africa.!
 
Wajerumani wametuongoza miaka 34 wametuletea maendeleo makubwa Sana ,ccm imetutawala miaka 60 lakini haijafikia hata nusu na robo ya waliyotufanyia wajerumani.
 
Mkuu unadhani kama angekuwepo Ikulu tusinge ongea haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…