Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Yoote umeyasema lakini kiini cha tatizo ni hapa uliposema "Any civilization that know what they want always reachs their destinations, do we know what we want we as Africans?" Hili ndio tatizo, hasa kwa viongozi wetu. Na ndio maana tunakwenda mbele miaka 10, halafu tunarudi nyuma miaka kumi. Over.....
 
Huyo hawezi kwenda kujificha hai vijijini

Magufuli ni raisi wa aina gani ambae anakimbia ikulu na kwenda kujificha kwake kijijini
Ameshazoea kuzurura si unajua Tena tabia za muhuni
 
Hivi ni Mabeberu au *Wahisani*?

The true revolution comes from inside yourself....!
Yote ni majina yao, matumizi ya hayo majina inategemea tu na wakati.

Mfano Wakichangia bajeti yetu au kutupatia misaada tutawaita wahisani au washirika wetu wa maendeleo.

Wakitukosoa kuhusu demokrasia au haki za binadamu tutawaita mabeberu.
 
Yote ni majina yao, matumizi ya hayo majina inategemea tu na wakati.

Mfano Wakichangia bajeti yetu au kutupatia misaada tutawaita wahisani au washirika wetu wa maendeleo.

Wakitukosoa kuhusu demokrasia au haki za binadamu tutawaita mabeberu.
Mbwa ni mbwa tu hata umpe jina zuri atabaki kuwa mbwa tu, beberu ni beberu hata aitwe muhisani/mfadhili ni beberu tu
 
Hivi Kuna watu wa ajabu Sana . We unadhani cheo Cha uraisi ni Cha mbinguni Kama Mungu kwamba huwezi kumjibu zaidi ya kumuomba. Acha fikra potofu kiasi hicho. Raisi wa nchi au taasisi yoyote Ni binadamu na anaweza kufanya makosa sio Mungu hata wenyewe maraisi duniani wanajijua kuwa Ni wanadamu kumbuka Hilo usijempa utukufu wa Mungu wa kutoulizwa au kubishiwa jambo.
 
Sasa mkuu ndio uone hapo kuwa wakati mmoja napambana kupinga ukoloni mambo leo na unyonyaji, kiongozi mwingine anakuja hadharani anasema bora awatumikie hao hao wanyonyaji.
How comes?

Hawa watu hata kama wanatupa misaada ya namna gani hawawezi kuwa wema hata siku moja mkuu.
 
Cha ajabu ni nini kwenye huo ujumbe? Mimi nimeuelewa vizuri ujumbe huu kuliko kituko cha mzee wako. kama ni alma za uandishi na uwasilishaji wa hotuba ila ningeipa 0%
 
Sas kama huo ugonjwa haupo na yeye hauogopi si aende kuwatembelea wale wagonjwa pale Amana na kukumbatiana nao?
 
Mabeberu ndio tunaowaomba watupe mikopo isio na riba au watusamehe kulipa madeni kipindi hiki cha corona.
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......... Juzi nikamsikia akisema, tunawaomba watusamehe madeni tuna tatizo la korona halafu hapo hapo anasema, mabeberu, hakuna korona, mara anapeleka mapapai maabara kuharibu vifaa vyetu. Kituko cha mwaka hiki. halafu anaziamini sana dawa za Sangoma, kwa nini?
 
Pole sana kwa kuwa na akili fupi na ushamba bila busara, kwanza hata siku moja haitatokea muingereza kukaribisha wanaotaka kwenda nchini kwa bila sababu au uhusiano na muingereza yeyote, unafikiri hivyo sababu ya ushamba wa kufikiri Ulaya ni mahali penye pesa za bure kwa wote wakati kuna ombaomba mitaani na wengi wanaumasikini wa kutupa.

Cha pili kama ikitokea hivyo watakao kimbilia meli ni wale wanaofikiri Ulaya kunawapa utajiri watu wote waliopo hapo, yani wajinga na washamba wasiojua Ulaya hasa Uingereza nilipo ni wabaguzi sana kwa mataifa yote hata ya Ulaya, Asia hasa Afrika.

Unafikiri wazungu ni bora sababu umefutwa akili na ukoloni na kuona wazungu ni miungu na majibu ya umasikini, lakini umasikini wa akili ulionao ni hatari kuliko wa pesa, wala hujui wewe ni masikini sababu ya wazungu, maisha yako ni mafupi sababu ya wazungu. Afrika nzima inaamka na kujua wazungu ni maadui wakubwa kiuchumi na kijamii lakini sie watanzania ni wajinga sana kufikiri wazungu ni wakombozi na bora kuliko sisi, tunaita self hate, you hate yourself and see whites are better, SUPER SHAME ON YOU.
 
Sasa huyu ndugu akamwamini nani? Viongozi wa dini, wataalamu, na kila mtu hamwamini. Tatizo ni nini? Tufiche tatizo ili iwe nini? Mwigulu karudishwa baada ya kusema tusizitangaze taarifa za wanaougua ugonjwa huu.
 
Sas kama huo ugonjwa haupo na yeye hauogopi si aende kuwatembelea wale wagonjwa pale Amana na kukumbatiana nao?
Inafaa mbowe aende sababu Hana umuhimu wowote Ni muhuni tu raisi aende kufanya nini raisi atulie wateule wake wanapiga kazi aende muhuni mbowe au malesbian kina bulaya na mdee
 
Hivi jamaa ana wataalamu wa Saikolojia? Maana kuna siku ataokota kopo na kumtupia mtu. Kila wakati ni kufoka tu, kwani tatizo ni nini?
 
Inafaa mbowe aende sababu Hana umuhimu wowote Ni muhuni tu raisi aende kufanya nini raisi atulie wateule wake wanapiga kazi aende muhuni mbowe au malesbian kina bulaya na mdee
Mbona alikuwa anaenda mhimbili kuwatembelea wagonjwa akina Mangula na wengineo. Ila maana upendo umepoa?
 
Kwanza bulaya sio mzima utaolewaje na mwanamke mwenzio
 
Sasa mnapokea misaada yao ya nini wakati mnajua ni wabaya?
 
Mbona alikuwa anaenda mhimbili kuwatembelea wagonjwa akina Mangula na wengineo. Ila maana upendo umepoa?
Unafikiri raisi mjinga Kama wewe akifa wakati bado tunamuhitaji miaka mingine mitano? Akifa mbowe hakuna shida Hana faida yoyote wanao muhitaji mbowe Ni kikundi Chake cha wahuni tu sisi tunawaza mbali mh raisi bado ana miaka mingine mitano ya kuongoza
 
Nini kitamuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…