Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Huo ujasiri wa kutetea chama kilichokuzulumu haki zenu za nyongeza za mishahara mnapata vipi hamu ya kukitetea au ugumu wa life umedumaza fikra maana wengi kula tu ni Hadi wake zenu wauze mihogo
Kwa hiyo na wwe unaamini kabisa kua Mbeligiji atakupa pesa ya Chakula!?
 
polisi hawajielewi...huwezi kamata mtu as if amekataa kutii amri
Duh! Wwe nae kilaza! Kitendo cha Mlinzi kuwakimbia Police kinaaminisha kua Mlinzi amekataa kiti amri ya Police,na wamemuonea huruma sana,maana wengine wanachapwaga risasi za miguu!!
 
legalz sio mchezo....watu wa law hawajahi kumuangusha mtu...mubaki na Phd zenu hewa .."No mothers ,No fathers and cant reach to preach like ..., tupo lait directions" hahahahahahahahahah
Legalz wengi ni matapeli Kama robat,wao kazi yao kutafuta tu loopholes ili kupiga pesa nyepesi bila kuvuja Jasho! Kwa Msukuma nakuambieni mmegonga Mwamba hakuna loopholes hapo kila tundu imezibwa,hadi issue ya Mashoga nayo imezibwa!!
 
Vipaji huwa vina Mambo muhimu tunayohitaji katika Manisha,au unasemaje kuhusu Hilo jkipaji.
Tena hasa ukiwa na Kipaji cha kuendesha Vessel lazima upige pesa ndefu! Au unasemaje Mkuu!?
 
We shall over come, all Mugufulini's actions prove that he has never had any pure opposition and he is in panic now.
 
Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa

View attachment 1600019
Magufuli ametuharibia nchi aisee, yaani tumekua kama tunaishi ule ukanda wa GAZZA? Huyu jamaa hastahili kabisa kuendelea kutuongoza, tunahitaji Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
 
Majeshi yetu yanafanya kazi za CCM, aibu sana hii.
 
Waliompiga risasi Tundu Lissu, walikamatwan lini? Kilangila.
 
Waliompiga risasi Tundu Lissu, walikamatwan lini? Kilangila.
Mwanamke kafanyiwa nn hapo? Au hujaelewa hata hiyo video inahusu nini? Huoni kama huyo Ester anazuia polisi wasifanye kazi yao when yeye mwenyewe hao polisi wala hawakuwa na mpango naye.
Hata mwanafunzi wa darasa la kwanza anaweza kujua kuwa kwa kuwa hapo ni nyumbani kwa Ester na mlinzi anayekamatwa ni wa Ester, ulikuwa ni wajibu wa kiongozi wa zoezi la ukamataji kumjulisha Ester kuwa mlinzi wake anahitajika kituoni kwa sababu fulani. Kilangila.
 
Hakataliwi Beberuu kuja kuwekeza,mpango wa Magu ni Win Win situation kwa pande zote!!
Kama ni beberu wa nini na nyie mnaweza? Na hiyo mikataba ya kinyonyaji waliingia serikali ya chadema?

Au kuna serikali za CCM na serikali ya Magufuli?
 
Huyo Matiko yeye amlaumu huyo Muhalifu aliyekimbilia ndani mwake ndiyo kamponza,au Matiko ndiyo anafadhali Mtandao wa Wahalifu!?
Nimezungumza na mwanamke mwenzake, kumbe na wewe ni mwanamke ndio maana umekimbilia kujibu.

Sishangazwi tena na majibu yako kumbe ni ya kike kike
 
Resisting a police arrest is just a bad idea. Kukamatwa na police, whether unaonewa au huonewi, sio mwisho wa safari. Ni utamaduni wa kupenda dramas zisizokuwa na tija yoyote!
Polisi wa nchi za kidemokrasia, siyo Tanzania ya leo. Kilangila.
 
Unafikiri wote ni majuha kama wewe. Kweli huwezi penda CCM kama siyo MPUMBAVU
 

Acha kuhemka na mambo usiyoyajua weweee

Kama una huruma nenda mahamani kafungue kesi ya kumtetea huyo unayedai ameonewa na ukasimame mahakamani kutoa ushahidi..... sio unajichetua nyuma ya keyboard kama mende mzee.

Faraghadume zimekuharibu sana wewe!!!!

Mfyuuuuuuu
 
Kama uchawi na roho mbaya zilivyokuharibu.
 

“Have you proved that he is suspected criminal?” ...Swali kama hili linaweza tu kuulizwa na mtu ambaye hajui anachoongea. Hajui tofauti ya criminal na suspected criminal na hajui police force inafanyaje kazi zake. Siwezi kukulaumu. Haya ni matokeo ya elimu potofu inayotolewa na viongozi wa Chadema. Hakuna kiongozi makini ambaye muda wote anahubiri shari, disobedience kwa police force. That’s failed leadership of the highest order! Nasema hivyo kwa sababu vyombo vya dola ni 100% portable. Hapa ninamaanisha kuwa watawala wote watapita, lakini vyombo vya dola vitabaki palepale, vinarithiwa kutoka utawala mmoja hadi mwingine.

Ukikuta mtu anatafuta ridhaa ya kushika dola halafu anahubiri huo ujinga, huyo hajitambui na hajawa tayari kwa kazi anayoiomba. Ukimpa hiyo kazi, maana yake jukumu lake la kwanza litakuwa kuwafundisha wafuasi wake kuheshimu na kutii vyombo vya dola. Kama huo sio uwendawazimu ni kitu gani?

No country on earth has a perfect police force. Not one; not even the most democratic, first-world countries! Bad elements kwenye taasisi yoyote, ikiwemo police force, hazikosekani.

Our police force is neither the best nor the worst. Pamoja na kufanya kazi katika mazingira magumu, jeshi limefanya mengi sana mazuri. Kubwa zaidi ni kulinda amani yetu. Bila hii amani tuliyonayo, hata hizi debates tunazofanya hapa zisingewezekana. Ukiwa na negative orientation (focus) huwezi kuona mema yanayofanyika. Ushauri wangu kwa wote wenye mawazo kama yako: Don’t take our peaceful environment for granted. A lot of brave men and women are making sacrifices every day to maintain it!

Ulichoandika ni malalamiko zaidi kuliko hoja za msingi. Hakuna hoja yenye mashiko uliyoitoa kutushawishi kwanini police force haikupaswa kumkamata mtuhumiwa waliyemkamata. Kila police case ni unique. Uhalali wa kukamata mtuhumiwa yeyote hautokani na results za arrests zingine zilizowahi kufanywa na police force. Hatuwezi kusema kuwa, kwa sababu polisi walimkamata X akashitakiwa mahakamani na kupatikana na hatia, basi polisi wakamate kila anayekatiza mbele yao. Vilevile, hatuwezi kusema kuwa, kwa sababu polisi walimkamata X akashitakiwa mahakamani na kukutwa hana hatia, basi polisi wasimkamate mtuhumiwa mwingine yeyote. Hilo halitokei kwenye nchi halisi bali kwenye taifa la kufikirika la Chadema.

Kila mtuhumiwa anazo haki zake za msingi, lakini resisting police arrest is not one of those rights. If anything, resisting a police arrest is one sure way to run into a very serious problem. Elewa vizuri hapa... Police force ni chombo cha mabavu. Wanaruhusiwa kutumia all means necessary, lethal or nonlethal, kukabiliana na mtuhumiwa kaidi. Kwenye nchi nyingi watu wameuawa na wanaendelea kuuawa na polisi kwa kuendekeza ukaidi. Encounter na police ni kitu chepesi sana kwa mtu asiyetaka dramas zisizokuwa na tija yoyote. Kukamatwa na polisi, whether kwa kuonewa au kutokuonewa, sio mwisho wa safari ya haki kutendeka. Watii polisi kisha onesha ujuaji wako mahakamani ili aibu iwe kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…