lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nimegundua wewe sio mwanamke.Huyo Ester naye mnafiki tu. Anajifanya kujiweka katikati ili abutuliwe na askari atafute cha kubwabwaja kwa mabeberu. Mkiambiwa kutii sheria bila shuruti hamuelewi au?
Yule robati ni bonge la tapeli la Kimataifa,sema safari hii kwa Magu hawezi fanya kitu!!Huu ndio ushahidi tunatakiwa kumtumia Robert Amsterdam.
Mbona patamu hapa.
Nimemuua nani??? Nimuonee huruma kwani amefanyiwa nini kibaya?? Mlinzi wake kakamatwa ndio aonewe huruma? Au unajua kinachoendelea?Mwanamke muuaji wewe,una rohombaya,huna huruma na mwanamke mwenzio.
Aibu gani wakati Asakari wako kazini! Kwa nini mnapenda kutetea wahalifu!?Hii ni aibu kwa jeshi la polisi...
Kwa lipi?IGP anapaswa kuachia ngazi haraka
Punguza Munkari!!Wewe naye unatoa majibu kama upo period!!
Kwanini umeshindwa kuleta habari sahihi? Hizi Propaganda zako zina mwisho.Kama hawajamuua utasikia akifunguliwa kesi ya kusambaza picha za ngono mitandaoni , sasa linganisha na nguvu iliyotumika
Sasa unakimbia police ukipigwa risasi utamlaumu Nani!?Hata angekuwa kafanya nini huwezi kuingia nyumbani kwa mtu na kuanza kumkusanya mtu bila ya maelezo yoyote na kuondoka naye
Kwa sababu huelewi ngoja nikuambie.Nimemuua nani??? Nimuonee huruma kwani amefanyiwa nini kibaya?? Mlinzi wake kakamatwa ndio aonewe huruma? Au unajua kinachoendelea?
Jiangalie sana maana mwenyewe hujitambui wala kujielewa. Kama wewe ni mwanaume nitasikitika sana maana huwazi kama mwanaume wala mwanamke ila unawaza kama kasuku
Mwanamke kafanyiwa nn hapo? Au hujaelewa hata hiyo video inahusu nini? Huoni kama huyo Ester anazuia polisi wasifanye kazi yao when yeye mwenyewe hao polisi wala hawakuwa na mpango naye.Nimegundua wewe sio mwanamke.
Hakuna mwanamke mwenye rohombaya kama uliyonayo.
Tena wewe Ni jambazi.
Ungekua mwanamke ungekua na huruma kwa mwanamke kufanyika hivyo.
Unaonekana ulishawahi kuua wewe maana sio kwa ukatili huo.
Siasa tu ndio onakufanya uwe na chuki kiasi hicho?
Basi aendelee kukimbia tuone mwisho wake!!Kama wamemkimbiza kwanini asikimbie?
Huyo Robert Amsterdam hana lolote la kuifanya hii nchi. Nchi hii ni huru na hakuna mtu anaweza kuiingilia uhuru wake.Huu ndio ushahidi tunatakiwa kumtumia Robert Amsterdam.
Mbona patamu hapa.
Huko nje walikotoka na huyo mlinzi hadi akakimbilia ndani unajua walichomwambia?Kwa sababu huelewi ngoja nikuambie.
Hizo vurugu zote Ni kwa sababu mwanamke mwezio Esta anagombea.
Wamemkamata mlinzi wa Esta.
Ilikua Ni Vema kumweleza Esta kosa la kukamatwa mlinzi wake.
Umesikia wewe Jambazi?
Unasema polisi siyo wajinga? Haya, hayajakukutaInategemea na mazingira,kama ni mbwai inakuwa bwai tu,mbele kwa mbele.mbona hawasemi sababu ilikuwa nini? Polisi sio wajinga,naamini kulikuwa na jambo
Yameshanikuta sana tu hadi wakawa rafiki zangu.ujinga wao upo kwenye rushwa tu.Unasema polisi siyo wajinga? Haya, hayajakukuta
Naunga mkono!Hawa wapuuzi waanze kupewa kichapo,siku nyingine watakuja kwa adabu,maana hawana tofauti na majambazi
Kama wameamua kuweka kando sheria basi wawe tayari kukabilana na madhara yake,
Catherine Magige ndo Yupo hospital!