Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #161
Tumepokea ushauri wakoAcheni ujinga. 2007 Kenya waliuana kweli kweli lakini Uhuru na Ruto hadi leo wanadunda baada ya kuwamaliza mashahidi wote. Kama hamtatia bidii kuchukua madaraka hizo evidence zenu zitakuwa kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu wenu na msijidanganye na sanctions mara nyingi wanaumia wananchi na serikali zinaishia kuwa oppresive zaidi angalia Burundi na Zimbabwe. Upinzani msipoingia barabarani story zenu za kuchukua madaraka zitaishia midomo tu na kujaza server za mitandaoni.
Who knows? Wangekuwa wahuni wangekamatwa.halafu mna hakika gani kama ni ccm? Mambo yake binafsi huyo lissu mnayajua ? Ukiondoa unavyomjua kisiasa?Kwani kwa lissu mlifanyaje, si mliwatumia hao hao wahuni wenu sema ndo hivyo mpango ya ccm si mipango ya Mungu.
Sio kweli uongoUkamati sio maungamo kwamba ukambembeleze....labda nikwambie, mpaka mtu anakamatwa ina maana kakataa kutui sheria bila shurti
HaisaidiiAliyechukua video kafanya jambo jema sana
Inasaidia kuwaonyesha mabeberuHaisaidii
Kwa hiyo ukianza kukimbizwa toka nje ndiyo justification?Mtuhumiwa akiwakimbia police sheria inasema police wafanye nini??
Huyo bwana police hawakumkuta hapo ndani alianza kuwakimbia nje kule
Wabongo maneno mengi vitendo less!! Yaani Mi ndiyo ningekua Boss wa huyo Mlinzi saa hizi kazi hana! Sasa hapo si Mlinzi ndiyo analindwa na Boss wake! Hahaahaahaa!!
Haki yake ya kufunguliwa mashitaka ya kukimbia ndani na kutaka kujificha na kufurukuta pamoja na kuwasumbua polisi wasifanye kazi yao kwa kimombo wanasema resisting arrest.Haki zake zipi?
Duh.! Polisi wavamia ofisi ya Esther Matiko, wakamata watu kibabe, mpambano mkali watokea
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.Haki yake ya kufunguliwa mashitaka ya kukimbia ndani na kutaka kujificha na kufurukuta pamoja na kuwasumbua polisi wasifanye kazi yao kwa kimombo wanasema resisting arrest.
Hao polisi mbona mnawachekea sana miaka nenda rudi, hamuwezi kuwaonesha makali kidogo?Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Safi sana unafahamu majina yake yote..kweli kila goti litapigwaSasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Sikuona justification ya kwamba CCM ndio wamemkamata ndio maana nikauliza hayo maswaliKwa hiyo ukianza kukimbizwa toka nje ndiyo justification?
Kwani ujui kwamba polisi wanauhujumu Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi kwa kuwanyanyasa wapinzani.Hapa hizi uniform ndio zina tambulisha kuwa hawa ni Askari Polisi ,kitendo na namna ya ukamataji wake hakitofautiani na Makundi ya kihalifu pale wanapo kwenda kumteka Mtu.
Jamaa wame mkamata kibabe sana, Wapinzani tuna dharauliwa sana; sidhani kama wanaweza kufanya hivi kwa upande wa CCM.
Shame Police
Police wanapoteza mda kudili na mtu mmoja mmoja wanapoteza Sana nguvu zao kwann wazitumie hizo nguvu kulazimisha mioyo ya watz waipende ccmKama hawajamuua utasikia akifunguliwa kesi ya kusambaza picha za ngono mitandaoni , sasa linganisha na nguvu iliyotumika