Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Acheni ujinga. 2007 Kenya waliuana kweli kweli lakini Uhuru na Ruto hadi leo wanadunda baada ya kuwamaliza mashahidi wote. Kama hamtatia bidii kuchukua madaraka hizo evidence zenu zitakuwa kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu wenu na msijidanganye na sanctions mara nyingi wanaumia wananchi na serikali zinaishia kuwa oppresive zaidi angalia Burundi na Zimbabwe. Upinzani msipoingia barabarani story zenu za kuchukua madaraka zitaishia midomo tu na kujaza server za mitandaoni.
Tumepokea ushauri wako
 
Kwani kwa lissu mlifanyaje, si mliwatumia hao hao wahuni wenu sema ndo hivyo mpango ya ccm si mipango ya Mungu.
Who knows? Wangekuwa wahuni wangekamatwa.halafu mna hakika gani kama ni ccm? Mambo yake binafsi huyo lissu mnayajua ? Ukiondoa unavyomjua kisiasa?
 

Duh.! Polisi wavamia ofisi ya Esther Matiko, wakamata watu kibabe, mpambano mkali watokea​

 
Mtuhumiwa akiwakimbia police sheria inasema police wafanye nini??
Huyo bwana police hawakumkuta hapo ndani alianza kuwakimbia nje kule
Kwa hiyo ukianza kukimbizwa toka nje ndiyo justification?
 
Bodyguard kakimbilia kushikilia chuma, yaani kama litoto.
Wabongo maneno mengi vitendo less!! Yaani Mi ndiyo ningekua Boss wa huyo Mlinzi saa hizi kazi hana! Sasa hapo si Mlinzi ndiyo analindwa na Boss wake! Hahaahaahaa!!
 
Haki yake ya kufunguliwa mashitaka ya kukimbia ndani na kutaka kujificha na kufurukuta pamoja na kuwasumbua polisi wasifanye kazi yao kwa kimombo wanasema resisting arrest.
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele. You are the next victim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Civil war Huwa zinaanza kwa ujinga ujinga kama huu, Chuki, Fitina, uonevu , dhuluma na injustice huwa vinajengeka kwa namna hii na watu kuamua ku Revenge at the end of the day nchi inaingia kwenye machafuko.Nitoe Rai kwa vyombo vinavyohusika kutofumbia macho upumbavu wa namna hii.
 
Hivi kweli tunaelekea wapi kweli? Hili taifa lina watu waajabu sana na hiyo yote ni siasa za kijinga sana ikiwa watu kutokuwa na elimu ya kuelimika. Utu umekosekana. Mfano wale waliyochoma nyumba ya mgombea ubunge chato yani watoto usiku wote ule.

Wanaofanya ujinga huu ukitazama maisha yao ni yakishezi haswa.
 
Kwa hiyo ukianza kukimbizwa toka nje ndiyo justification?
Sikuona justification ya kwamba CCM ndio wamemkamata ndio maana nikauliza hayo maswali
Rudi kasome reply zangu zote utanielewa
 
K
Hapa hizi uniform ndio zina tambulisha kuwa hawa ni Askari Polisi ,kitendo na namna ya ukamataji wake hakitofautiani na Makundi ya kihalifu pale wanapo kwenda kumteka Mtu.

Jamaa wame mkamata kibabe sana, Wapinzani tuna dharauliwa sana; sidhani kama wanaweza kufanya hivi kwa upande wa CCM.

Shame Police
Kwani ujui kwamba polisi wanauhujumu Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi kwa kuwanyanyasa wapinzani.
 
Kama hawajamuua utasikia akifunguliwa kesi ya kusambaza picha za ngono mitandaoni , sasa linganisha na nguvu iliyotumika
Police wanapoteza mda kudili na mtu mmoja mmoja wanapoteza Sana nguvu zao kwann wazitumie hizo nguvu kulazimisha mioyo ya watz waipende ccm
 
Back
Top Bottom