Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #161
Tumepokea ushauri wakoAcheni ujinga. 2007 Kenya waliuana kweli kweli lakini Uhuru na Ruto hadi leo wanadunda baada ya kuwamaliza mashahidi wote. Kama hamtatia bidii kuchukua madaraka hizo evidence zenu zitakuwa kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu wenu na msijidanganye na sanctions mara nyingi wanaumia wananchi na serikali zinaishia kuwa oppresive zaidi angalia Burundi na Zimbabwe. Upinzani msipoingia barabarani story zenu za kuchukua madaraka zitaishia midomo tu na kujaza server za mitandaoni.