kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Wahalifu ni CHADEMA tu?Aibu gani wakati Asakari wako kazini! Kwa nini mnapenda kutetea wahalifu!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahalifu ni CHADEMA tu?Aibu gani wakati Asakari wako kazini! Kwa nini mnapenda kutetea wahalifu!?
siku yakikufika uendelee kusema hivi hiviSasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Hii sio haki,hata kama wana makosa wawakamate kwa ustarabu kama sheria inavyosema.Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlinzi anakimbia balaa Dada wa watu kabaki kulia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uyo mlinzi akitoka itabid aende olimpik akashiriki riadha
Walimwambia bora ya mkoloni sio?Kuna wazee walimwambia kauli hii Nyerere pale Tabora mpaka machozi yakamtoka na mpaka leo imewekwa sanamu yake pale soko kuu.
Mimi siwezi kudanganywa, nchi huru ni ile isiyotembeza bakuli kuomba hata msaada wa mosquito nets.Acha ujinga tuko chini ya Marekani TZ
ni Nchi Huru
jiki ndio waandamanaji wa keyboard hawataki kujadili, zaidi wamejaa matusi na kejeri.Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani, mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Mjinga wewe hapo,hapo mpaka amekimbilia ndani maana yake ameshindwa kutii amri ya polisi,maana yake kagoma,kitendo cha kwenda ndani je angechukua silaha na kuwadhuru polisi,mimi nimekamatwa hata mara kumi inafika na sijawahi kupigwa,unavyota ndio hivyohivyo unafanyiwa.
video ulioiona wewe ni tofauti na iliyowekwa humu? km ni hii, propaganda yako imebuma maana hata matiko jalalamika hilo tukio. Ni upumbavu kutafuta sifa za kijinga. Unaweza tuambia hapo matiko kadalilishwa wapi? au ni kitendo ganinhuyo polisi kafanya?View attachment 1600682
Huyu polisi amechukuliwa hatua gani?!! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu!
kweli ungefurahia kumwona dada yako au ndugu yako yako yoyote anafanyiwa kitendo hiki?!! Hili halihitaji uchama wala kundi lolote kulipinga. Haiwezekani waliopewa dhamana ya kutulinda na kusimamia sheria ndio wanatenda tendo la aibu kiasi hiki na sisi tunanyamaza kimya.
HII NI NAJISI YA KIKOSI KIZIMA CHA POLISI IKIWA HUYU POLISI HATA CHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU NA KISHERIA!!!
mbona una ruka ruka tu, tunaomba utuambie kama anavyouliza Matiko, kuna shida gani? mbona jamaa kakimbia.Yaani tuache ujinga utamalaki kisa hayatuhusu ! leo ni huyu kesho ni wewe , shetani hajawahi kuwa na rafiki , kama unabisha muulize Kinana alichofanyiwa
video wanazi sense hapa jf siku hizi haswa kama ina negative impact kwa ccm,Siku zote tunawaambia police mtazidi chafuka kwa kuibeba ccm, ccm haibebeki, endeleeni kujichafua Askari kumpiga dole matiko si uhuni huu ndio arrest waliyofundishwa hii.
Kila mfanyacho kuisaidia ccm linaback fire kwenu hii kashfa sasa mkajichunguze Kama ile ya ocd hai
Hawa wapuuzi hawajui kuwa hata Marekani uki resist arrest ni kosa tena unaweza ukafa. Wanajifanya wanaijua amerika kushinda wengine humu. Waulizeni wale watu weusi huko ndio wata waeleza.Pentagon kitu gani bhana,hata sisi tuko na Ngome shida iko wapi!?
video wanazi sense hapa jf siku hizi haswa kama ina negative impact kwa ccm,
View attachment 1600693
Itazame vizuri hio video Askari mwenye kibegi cha kijivu akimpiga dole matiko Hadi matiku akashtuka kumuangalia aliyempiga dole,uoni hapo mlengwa ni matiko kumprovoke ili wamtafutie kesi.video ulioiona wewe ni tofauti na iliyowekwa humu? km ni hii, propaganda yako imebuma maana hata matiko jalalamika hilo tukio. Ni upumbavu kutafuta sifa za kijinga. Unaweza tuambia hapo matiko kadalilishwa wapi? au ni kitendo ganinhuyo polisi kafanya?
Ccm inajikaanga yenyewevideo wanazi sense hapa jf siku hizi haswa kama ina negative impact kwa ccm,
View attachment 1600693