Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

1602737202624.png

Huyu polisi amechukuliwa hatua gani?!! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu!

kweli ungefurahia kumwona dada yako au ndugu yako yako yoyote anafanyiwa kitendo hiki?!! Hili halihitaji uchama wala kundi lolote kulipinga. Haiwezekani waliopewa dhamana ya kutulinda na kusimamia sheria ndio wanatenda tendo la aibu kiasi hiki na sisi tunanyamaza kimya.

HII NI NAJISI YA KIKOSI KIZIMA CHA POLISI IKIWA HUYU POLISI HATA CHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU NA KISHERIA!!!
 
Mlinzi anakimbia balaa Dada wa watu kabaki kulia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uyo mlinzi akitoka itabid aende olimpik akashiriki riadha
 
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani, mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
jiki ndio waandamanaji wa keyboard hawataki kujadili, zaidi wamejaa matusi na kejeri.
Mzee wa propaganda Erythrocyte, ebu tueleze kuna shida gani maana hata dada yetu Matiko hajui. Unaonekana unajua hila hutaki nasi tufahamu.
 
Pamoja na yote ila usitake kujifanya hujui uonevu mkubwa unaofanywa na jeshi la polisi kwa viongozi wa vyama vya upinzani na wafuasi wao.Lakini pia ata katika jamii jeshi la polisi limekua na vitendo vingi vya ovyo kwa wananchi.Sasa ni lini jeshi hili limekua likifanya kazi zake kwa weledi ili sasa leo tuone huyo mtu ndiye mwenye makosa.Sasa kwavile hayajakukuta endelea kuwaamini ila siku yakikukuta usiseme ulikua hujui.
Mjinga wewe hapo,hapo mpaka amekimbilia ndani maana yake ameshindwa kutii amri ya polisi,maana yake kagoma,kitendo cha kwenda ndani je angechukua silaha na kuwadhuru polisi,mimi nimekamatwa hata mara kumi inafika na sijawahi kupigwa,unavyota ndio hivyohivyo unafanyiwa.
 
View attachment 1600682
Huyu polisi amechukuliwa hatua gani?!! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu!

kweli ungefurahia kumwona dada yako au ndugu yako yako yoyote anafanyiwa kitendo hiki?!! Hili halihitaji uchama wala kundi lolote kulipinga. Haiwezekani waliopewa dhamana ya kutulinda na kusimamia sheria ndio wanatenda tendo la aibu kiasi hiki na sisi tunanyamaza kimya.

HII NI NAJISI YA KIKOSI KIZIMA CHA POLISI IKIWA HUYU POLISI HATA CHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU NA KISHERIA!!!
video ulioiona wewe ni tofauti na iliyowekwa humu? km ni hii, propaganda yako imebuma maana hata matiko jalalamika hilo tukio. Ni upumbavu kutafuta sifa za kijinga. Unaweza tuambia hapo matiko kadalilishwa wapi? au ni kitendo ganinhuyo polisi kafanya?
 
Police iache kuajiri wahuni kwan wanalifedhehesha jeshi la police mtazame vizuri huo ffu mwenye kibegi mgongoni sijui ndo katumwa kumpiga dole la matako matiko hii ni aibu kwa jeshi la polisi weledi uko wapi hapa icheki vizuri hio video.
 
Yaani tuache ujinga utamalaki kisa hayatuhusu ! leo ni huyu kesho ni wewe , shetani hajawahi kuwa na rafiki , kama unabisha muulize Kinana alichofanyiwa
mbona una ruka ruka tu, tunaomba utuambie kama anavyouliza Matiko, kuna shida gani? mbona jamaa kakimbia.
Ingekuwa Marekani huyu ashapigwa risasi kwa ku resist arrest.
 
Siku zote tunawaambia police mtazidi chafuka kwa kuibeba ccm, ccm haibebeki, endeleeni kujichafua Askari kumpiga dole matiko si uhuni huu ndio arrest waliyofundishwa hii.
Kila mfanyacho kuisaidia ccm linaback fire kwenu hii kashfa sasa mkajichunguze Kama ile ya ocd hai
 
video wanazi sense hapa jf siku hizi haswa kama ina negative impact kwa ccm,
Screen Shot 2020-10-15 at 08.24.46.png
 
Pentagon kitu gani bhana,hata sisi tuko na Ngome shida iko wapi!?
Hawa wapuuzi hawajui kuwa hata Marekani uki resist arrest ni kosa tena unaweza ukafa. Wanajifanya wanaijua amerika kushinda wengine humu. Waulizeni wale watu weusi huko ndio wata waeleza.
Hatasema jamaa kwanini amekimbia zaidi ya kutukana na kueneza uongo.
 
video ulioiona wewe ni tofauti na iliyowekwa humu? km ni hii, propaganda yako imebuma maana hata matiko jalalamika hilo tukio. Ni upumbavu kutafuta sifa za kijinga. Unaweza tuambia hapo matiko kadalilishwa wapi? au ni kitendo ganinhuyo polisi kafanya?
Itazame vizuri hio video Askari mwenye kibegi cha kijivu akimpiga dole matiko Hadi matiku akashtuka kumuangalia aliyempiga dole,uoni hapo mlengwa ni matiko kumprovoke ili wamtafutie kesi.
Mnapotumwa Kazi na ccm akili zingine muwe mnaziacha hata nyumbani Sasa hapo hata Askari mwenyewe kajidhalilisha na familia yake.Labda Kama mnafundishwa uhuni chuoni siku hizi.Lakin hairuhusiwi kumdhalilisha mtuhumiwa
 
Back
Top Bottom