DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyu hapa alikuwa anasoma tahasusi ya PCB kidato Cha tano.
IMG-20230621-WA0005.jpg
IMG-20230621-WA0003.jpg
 
Kuna audio hapa ya mama yake analalamika anaomba msaada na anadai wameenda polisi,kwa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa lakini hakuna msaada.Mwanafunzi inadaiwa kaacha ujumbe na anamtaja mwalimu Jimmy kwamba kafanya maisha yake kuwa magumu.Huyu mwalimu Jimmy alimfanya aje? Audio nashindwa kuiweka hapa.
Ualimu ni kazi ngumu sana mitoto ikitaka kuacha shule inasingizia walimu
 
Back
Top Bottom