DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pandahill naijua vizuri sana hio shule
Na mwalimu Jimmy namjua vizuri sana
Of course mwalimu Jimmy alibadilika na kuwa mwalimu mkali sana baada ya kupewa cheo cha discipline master wanafunzi wa zaman walimzoea kama mwalimu mpole na mstaarabu
Kikubwa nachojua kuhusu Pandahill Ni kwamba hawawezi ua mtoto wakamficha yule mwanafunzi angekua amepigwa mpaka kufa Lazima wanafunzi wangesema

So kuna mawili mwanafunzi karuka ukuta kaenda kule juu milimani kajiua kule kwenye maji ya moto ( huwa wanafunzi wanaenda kule kwenye tour)

Au mwanafunzi yupo kwa bwana yake na anahangaisha watu tu

So wahangaike hapo Jimmy hawezi ua mwanafunzi na pandahill hawawezi zika mwanafunzi. Waende milimani kule juu

Au huyo Caroline ataje bwana wa rafiki yake
 
Msisahau yule mwanafunzi aliye uwawa moshi na mlinzi,wakamtupa mtoni...akazikwa na manispaa..kilicho tokea badae.. shule ndo wahusika.... Tusubirie majb ya upepelezi kwanza.
 
Nchi hii iko na mambo ya ajabu sana .. mwalimu katajwa kwa barua aliyoandika huyo mwanafunzi lakini bado serikali imekula buyu.

walimu sidhani kama mtakuja kuwa na maisha mazuri kiukweli kama hali itaendelea kuwa hivi.

ualimu umekuwa kama genge la wahuni daah inauma.
itoshe basi.
View attachment 2665851nziu
Halafu Jimmy Ni mchumi mzuri sana Ila kakosa kazi Ndo kaenda pandahill kufundisha
Jamaa Ni mchumi kabisa kasoma mzumbe pale
 
Wanasoma wmekapata Kako mikono salama kanafanyiwa interrogation.Polisi wakikamaliz watakakabidhi kw wazazi wake.Mwalimu Jimmy ,sa itakuwaje? Au bathi
 
Asee watoto hawa.
FB_IMG_1687531878426.jpg
 
Huyu mama amejieleza vizuri sana tena precisely kwa hoja zenye mashiko, sasa na hao wenye shule nao wajitokeze wajibu maswali ya huyo mzazi, ila kiukweli walimu timizeni wajibu wenu kama walezi wa watoto wa wenzenu nanyi mtakuja kulipwa kipimo sawia na hicho mnachowapimia watoto wa wenzenu
HOJA IMEJIBIWA
 
Huyu mama amejieleza vizuri sana tena precisely kwa hoja zenye mashiko, sasa na hao wenye shule nao wajitokeze wajibu maswali ya huyo mzazi, ila kiukweli walimu timizeni wajibu wenu kama walezi wa watoto wa wenzenu nanyi mtakuja kulipwa kipimo sawia na hicho mnachowapimia watoto wa wenzenu
Bado unawalaumu walimu tu?
 
JamiiForums tumefanikiwa kuzungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema alikuwa likizo na ndio amerudi kazini, amesema kuhusiana na Ester kupotea walianza kufanyia kazi tangu tarehe 19, 06, 2023.
- Mwanafunzi Ester Noah aliyepotea Mei 18, 2023 katika shule ya sekondari ya Panda Hill iliyopo Mbeya amekutwa Ifisi, Mbeya

- Mtu aliyekuwa naye anajulikana kama Baba Jose na alimuweka kwa mama mmoja akiahidi kumchukua baadaye

- Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Benjamin Kuzaga amethibitisha tukio hilo na kusema uchunguzi unaendelea
=
 
Back
Top Bottom