DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Uko vizur mkuu
 
Wale woote waliowasema waalimu vibaya wa hiyo shule wawaombe msamaha hata kimya kimya.
Sio vizuri kuhitimisha jambo bila ya uhakika maana unaweza kumuonea mtu asiye na hatia.
Waalimu msife moyo, hizi ni changamoto za kazi tu.
M/mungu awasimamie katika kazi zenu, awaongoze mtende haki na kufuata maadili ya kazi yenu.
Amin.
 
Huyu mtoto anatusumbua tu, ona alienda kwa muuza mkaa
 
Kapatikana leo, kumbe kweli aliolewa kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kakutwa kwa mwanamke anayedai aliletwa na mtu anayeitwa baba Jose, kwa hiyo ALIOLEWA NA MWANAMKE!! Kukimbia shule maana yake shule kuna mateso ya kipumbavu, kila mwaka utasikia mwanafunzi afariki baada ya kipigo cha mwalimu. Elimu ya kitanzania mateso sana ndiyo maana wakiajiriwa wanalipiza kwa WIZI NA RUSHWA.
 
Tunasema wanawake wasipigwe hapo hapo tunaruhusu wanafunzi wa A Level kidato cha 5 n 6 ambao ni watu wazima ambao wanachagua Rais na Wabunge, wapigwe fimbo akili zetu zina shida. Wanafunzi wa A Level wanafungiwa kuliko wafungwa wa gereza la keko. Lazma wanafunzi watoroke, kitakachofuata ni kujiua. Viboko viwe mwisho form 2 tu ndiyo watoto.
 

Attachments

  • FB_IMG_1687669662498.jpg
    35.8 KB · Views: 6
Kishauonja mtalimbo,na hii age yake.Sidhani kama ataconcetrate kwenye masomo.Sema anaharibu kesho yake.
Afu eti anasoma PCB woiiiiiii, huyu dogo anaharibu fyucha yake mapemaa mnooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee nae kwan hujaona huyo mwanamke alokutwa na Esther kasema aliambiwa ni mkewe wa baba josee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
PCB wa siku hizi?
Hivi Pcb unapata wapo mda wa kuwaza mapenzi,sisi enz zetu haya kuoga unasahau.....Ametuchafua saba huyu atuombe radhi PCB wote hamna PCB wa hv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chand na BS zilimvurugaa, akaona akajipozee kwa baba josee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…