Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
CEO/Mawaziri/wabunge/RC/DC/RAS/DAS/DED/ n.k wanalipwa pesa ndefu sn lakini bado na rushwa wanachukua kwa sana"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Kumbe tambo zote zile za kuzima maandamano ya chadema, polisi wanaopokea hela kidogo namna hii?mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000)
Usipovuta mibangi yako unakuwaga na akili kiasi chake. Rushwa ni tabia ya mtu. Endelea kupunguza mibangi yako maana nilishasema akili kichwani mwako zipo ila mibangi ndio inayokuharibuCEO/Mawaziri/wabunge/RC/DC/RAS/DAS/DED/ n.k wanalipwa pesa ndefu sn lakini bado na rushwa wanachukua kwa sana
Ana-aim nini hapa Mb. matiko? Anataka nani apunguziwe au nani aongezewe?
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Magereza ni jeshi lenye askari wenye akili sana kuliko Polisi"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Sasa nimejua kuwa hawana hela watajua hawajui tukikutana viwanja hawa watoto ."Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
ππππ πPolisi nao wanalipwa kama watu wa tamisemi kumbe
Kumbukeni hiyo 950,000/= ni kabla ya makato. Take home inaweza kuwa 700k na hapo itategemea kama hana mkopo
Rushwa ni tabia yako.Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii
Lakini si wanazo posho za chakula, nyumba, maji, umeme...Polisi nao wanalipwa kama watu wa tamisemi kumbe
Magereza ni jeshi lenye askari wenye akili sana kuliko Polisi
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza,ani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko
My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.