Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

 
Hilo jina matiko kila mara nalikosea kulisoma.

Utajaza mwenyewe.

Hivi anayo kweli hayo matiko, au jina tu?
 
Hao polisi kuipata hiyo nyota moja wawe na digrii na kutumika zaidi ya miaka na miaka!!

Ninawadau wameingia upongo 2015, mwaka 2021/22 ndipo wakapata nyota pamoja na wengine walioanza na elimu za chini wakajiendeleza Hadi digree.

Nina mdau aliingia 2013 akaunga Hadi dip Bado ni vuruga vumbi vv aka cpl.

Wote Hawa Wana 30+.....

Wasipobahatka kuruka vyeo hawatavuka ASP!!

Na bahati mbaya wakaguzi wapo wengi sana Kwa Sasa, wataanza kupanda Kwa ubaguz ili kujenga pyramid la uongozi
Wanakula sn rushwa
 
..Mishahara midogo ya Polisi na Magereza iwe sehemu ya ujumbe wa maandamano ya Chadema.
Teh teh 😃 😃 😃 unataka walipwe pesa nyingi Ili wawabonde vizuri...
 
Ukiachana na hao walamba asali na hao huko Bungeni ambao wanajiongezea mishahara bila kutwambia ni nani nchi hii anapokea ujira unaotosha ?!!; Yaani anabakiwa na Disposable Income ?!!!

Mbaya zaidi achana tu na mpaka anapata ngapi tumeshaangalia na matumizi na matozo ambayo inabidi alipe ?

 
Back
Top Bottom