Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Polisi wa form four +cheti Cha polisi na mwalimu wa form four +cheti Cha ualimu walioanza kazi tarehe 30-06-2015 mwalimu ana mshahara mkubwa kuliko polisi na psssf amechangia Hela nyingi huku polisi hajawekewa hata mia mbovu.Kumbe wanaolipwa mishahara midogo ni wengi ila kila siku wanasimangwa walimu
Polisi ana gari wakati mwalimu ana pkpk
Polisi ana nyumba, Mwl ana kiwanja...au geto lipo lenta
CCM oyee