Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

Kumbe wanaolipwa mishahara midogo ni wengi ila kila siku wanasimangwa walimu
Polisi wa form four +cheti Cha polisi na mwalimu wa form four +cheti Cha ualimu walioanza kazi tarehe 30-06-2015 mwalimu ana mshahara mkubwa kuliko polisi na psssf amechangia Hela nyingi huku polisi hajawekewa hata mia mbovu.

Polisi ana gari wakati mwalimu ana pkpk
Polisi ana nyumba, Mwl ana kiwanja...au geto lipo lenta

CCM oyee
 
Kuwa cheo kimoja sio sababu ya kupata mshahara sawa, kitu cha msingi ni lini alikipata cheo. Kuna suala la "Salary Incliment" kwa wale tuliosoma Cuba watakua wamenielewa.
Hawawezi kukuelewa kwa sababu iliyotajwa ni Basic Starting Salary kwenye hicho cheo kwa Polisi na Magereza.Hiyo "Incliment" nadhani ulimaanisha "Increment" haihusiki.
 
Usipovuta mibangi yako unakuwaga na akili kiasi chake. Rushwa ni tabia ya mtu. Endelea kupunguza mibangi yako maana nilishasema akili kichwani mwako zipo ila mibangi ndio inayokuharibu
Hahahahaha sister umeanza, nadhani karibu Makonda anaingia Mbeya, UWT mjipange
 
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko

My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Asisahau kuhoji pia utofauti uliopo kati ya mshahara wa mbunge na mwalimu
 
Rushwa ni tabia yako.
Kuna watumishi wanalipwa mamilioni lakini wanakula rushwa.
Huko huko polisi kuna Watumishi wanapokea mshahara chini ya huo lakini wamejitenga na rushwa
rushwa za buku mbili mbili za road ndio tatizo achana na zile rushwa za kibabe
 
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko

My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Sasa hao wengine wapo na hali gani?
 
Polisi wa form four +cheti Cha polisi na mwalimu wa form four +cheti Cha ualimu walioanza kazi tarehe 30-06-2015 mwalimu ana mshahara mkubwa kuliko polisi na psssf amechangia Hela nyingi huku polisi hajawekewa hata mia mbovu.

Polisi ana gari wakati mwalimu ana pkpk
Polisi ana nyumba, Mwl ana kiwanja...au geto lipo lenta

CCM oyee
Aisee 🤣
 
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko

My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Niliamua kuacha kazi nikiwa na cheo kikubwa,leo hela anayolipwa afisa wa police mwenye nyota mbili ndio namlipa dereva wangu.
 
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba (857,000) tofauti ya takribani laki moja na wote wako Wizara ya Mambo ya Ndani na wana cheo kimoja nini kinapelekea utofauti wa mshahara huu," - Esther Matiko

My take:
Kama ofisa mwenye nyota moja analipwa hivyo, ni ngumu sana kwa rushwa kuisha nchi hii.
Doh ndo maana
 
Nchi hii watu wana mishahara midogo Sana, Leo sukari 5000!
Huo mshahara nilikuwa napata 2007! Kipindi hcho bei ya Lita ya diesel 1200! -1800! Sukari kilo buku!
Na nilikuwa msera tu, na nikaona hautoshi!
Sasa polisi analipwa 900k! Asomeshe, alipe Kodi, Ada, na Ana miriki ka IST! Hapa kuna ujambazi na umafia wa kutisha! Sasa nimeelewa kwanini Yule kijana wa, Maldini mtwara, makachero waliamua kumpoteza kwa sindano ya sumu! Kisa milioni 33!
 
Back
Top Bottom