Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

 
Hilo jina matiko kila mara nalikosea kulisoma.

Utajaza mwenyewe.

Hivi anayo kweli hayo matiko, au jina tu?
 
Wanakula sn rushwa
 
..Mishahara midogo ya Polisi na Magereza iwe sehemu ya ujumbe wa maandamano ya Chadema.
Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ unataka walipwe pesa nyingi Ili wawabonde vizuri...
 
Ukiachana na hao walamba asali na hao huko Bungeni ambao wanajiongezea mishahara bila kutwambia ni nani nchi hii anapokea ujira unaotosha ?!!; Yaani anabakiwa na Disposable Income ?!!!

Mbaya zaidi achana tu na mpaka anapata ngapi tumeshaangalia na matumizi na matozo ambayo inabidi alipe ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…