Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

Watanzania wasikubali huu mradi uendelee na pia tujulishwe ni kiasi gani cha fedha za kifunga uchumba kilitolewa kabla ya 2015.

Na wale wote walopokea hicho kifunga uchumba wawajibishwe.
 
Nchi hii Magu alitusaidia kujua mijitu mipumbaf yaani MTU aje aweke Hela yake ardhini wee unachangia ardhi na makende yako tu kisha unataka mkataba wa mwaka jinga kabisa
Hivi kumbe JPM na serikali yake walikuwa wanademand mkataba wa mwaka mmoja? Kuspeculae hivi vitu ndio ujinga wenyewe wa baadhi ya waTZ
 
Kwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??
Inajengwa bila kujali fitina zenu
 
Inajengwa tu
 
Kwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??
Thread ifungwe hapa umemaliza. Ndugai kichwa maji soma hapa
 
Miaka mitano alisema kuwa miradi yote tunajenga kaw fedha za ndani huku deni la taifa likiongeza kila wiki.

KWANINI NDUGAI NA BUNGE LAKE LA WAKINA MSUKUMA/KIBAJAJ HAWAKUMTIBITI KAMA MAJUKUMU YAO YANAVYOWATAKA WAFANYE ALIPOKUWA ANAKIUKA TARATIBU?
 
Thread ifungwe hapa umemaliza. Ndugai kichwa maji soma hapa
ANAJUA KUWA ZANZIBAR WAMEANZA KUJENGA? SASA BAGAMOYO YA NINI PENGINE HUKO MBELE NDUGAI/MKWERE WAKIMFUATA MWENDAZAKE IJENGWE BANDARI MWAMBANI TANGA!
 
Kwani bandari ya Dar Ina shida gani?
Bandari ya Dar haijafikia full capacity, bado Kuna TANGA na Mtwara. Bagamoyo mnataka ipokee mzigo gani??
South Africa ina Bandari 4 kubwa East London, port Elizabeth, Capetown na Darban huku ikiwa na utitiri wa Bandari ndogo nyingi zenye uwezo mkubwa wa kupokea meli hata kubwa, Kila Bandari itasalia na majukumu yake, Mfano Bandari ya Dsm itasalia na mizigo ya ndani ya Nchi tu huku Tanga ikitumika kama Bandari ya Afrika mashariki lakini Bandari ya Bagamoyo itakuwa ni Bandari kubwa ya mizigo ya kimataifa kukuza maendeleo Tanzania na kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha meli kubwa Afrika
 
Usisahau na wakipata hasara sisi ndo tutawafidia, unamfidia mtu ambaye hujui anauza nini na kwa sh ngapi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
ANAJUA KUWA ZANZIBAR WAMEANZA KUJENGA? SASA BAGAMOYO YA NINI PENGINE HUKO MBELE NDUGAI/MKWERE WAKIMFUATA MWENDAZAKE IJENGWE BANDARI MWAMBANI TANGA!
Bagamoyo ni Tanganyika na huko Zanzibar wana biashara zao acha kila mmoja ajiendeleze kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…