Estonia (mwanachama wa NATO) yahofia kushambuliwa na Urusi muda wowote; yasema Urusi inafanya missile simulations dhidi yake (Estonia)

Estonia (mwanachama wa NATO) yahofia kushambuliwa na Urusi muda wowote; yasema Urusi inafanya missile simulations dhidi yake (Estonia)

Huo ni mtego wanamtega Urusi ili anase NATO waingie kumchapa.Putin mwaka huu lazima atoke madarakani kwa njia yoyote ile wakubwa wa Dunia waneshaamua.
Unayaona haya maneno yako mkuu?ujatamani kufuta?anyway taarifa inasema anaelalamika ni Estonia kufanyiwa simulation ya mashambulizi dhidi ya Mrusi, sasa wametega nini?
 
Huo ni mtego wanamtega Urusi ili anase NATO waingie kumchapa.Putin mwaka huu lazima atoke madarakani kwa njia yoyote ile wakubwa wa Dunia waneshaamua.
kwa mwaka huu ni ngumu bado yupo strong ila atatoka tu baadae
 
Mbuzi kama hizi ni zakusindikiza tuu..wakubwaa wa dunia ndo kina nani hao! Huu ugali tunaokula wabongo unatuharibu IQ zetu! Sasa kama hili libaba zima linasema wakubwaa wa dunia je mitoto yake
Mkuu,binafsi usikitishwa sana na baadhi ya Waafrika wenzetu ambao uabudu sana wazungu specifically taifa la Merikani as far as some Tanzanians are concern the "World is America" hata uwape somo gani hawakuelewi kabisa,wengine wanakasirika na kutukana-uwambii kitu wakakuelewa!! Wengine wanakuwa overly petrified na Uncle SAM mpaka wanafikia hatua ya kufuta comments ambazo wanahisi zina critisize mfalme wao wa Dunia-cha kushangaza you can call China or Russia names under the SUN, lakini comments zako hazifutwi kabisa!!

Naunga mkono comments zako zenye mshiko,sasa tujiulize swali lenye mantiki: hivi taifa dogo la VietNam wangekuwa na akili za kijinga wakashindwa kuchukuwa silaha kwa kuogopa kile waswahili wanacho kiita "wakubwa wa DUNIA" si VietNam ingekaliwa na the US daima duni!! Afghanistan, je?kama Wataliban wangeogopa kupambana na "wakubwa wa Dunia" matokeo yake yange kuwa nini? Ninacho kiona mimi kama wakubwa wa Dumia wangekalia Tanzania, waswahili wengi wangekaa kimya kabisa kwa kuhofia kupambana na "mkubwa wa DUNIA!!"
 
Vipi wale waafrika waabudu wazungu wa Russia ambao mmetapakaa hapa jukwaani?
 
Marekani wako most fare especially kwa raia wao. Ukiona wanapigana vita wao hupigana na kukupa msaada yaani wanakupiga na huku anakusaidia chakula madawa Nk. Wazungu wengi wao wanapenda maisha uendelee ndio maana wanatusaidia na wanathanini haki za binadamu.
Ebu tofautisha wageni wanaoenda kuhemia uarabuni kama Oman NK. Na wale wanaoenda huko nchi za magaribi kwa wazungu
Pia rejea historia ya watumwa baby zetu walioperekwa kwa wazungu, huruma zao imefanya uzao wao upo wenzetu Weusi wapo tunawaona, Lakini waarabu wa babu zetu waliasiwa na mabibi walipasuliwa tumbo.
Sasa ni akili gani ya kumchukia anaekusaidia? Wazungu ndio source ya msaada kwetu

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mbuzi kama hizi ni zakusindikiza tuu..wakubwaa wa dunia ndo kina nani hao! Huu ugali tunaokula wabongo unatuharibu IQ zetu! Sasa kama hili libaba zima linasema wakubwaa wa dunia je mitoto yake
Nyerere mwenyewe aliwatambua kama wakubwa upo mfano alipokuwa akizungumzia biashara huria akasema Tz haiwezi kupambana na ma giants akifananisha magiants na Mike Tyson.
 
Hamna choko atakaeingilia we si utaona hilo [emoji23]
Hata kama nato wataingia basi makubaliano yatakuwa ..uwanja wa vita uwe hiyo nchi ilivyo vamiwa na urussi...atakaye shindwa anatoka ...kamwe nato haiwezi kushambulia ardhi ya urussi kwa sababu hiyo itakua ni vita ya dunia kamili
 
Vipi wale waafrika waabudu wazungu wa Russia ambao mmetapakaa hapa jukwaani?
Sisi atumuabudu mbwaa yoyote wala mavii ya ccm ...ila tunataka haki duniani haki ya kweli siyo ya kinafiki ....
 
Hana huo uwezo, Urusi hawezi pigana vita 2
Yani nyinyi watu wenye akili ndogo mnatembea na majibu bila ya kujua kuwa mnamajibu...hichi ulicho andika hapa ndiyo kinafanya nato kuiogopa urussi maana urusi ananguvu sana kwenye silaha kubwa za maangamizi kuliko nchi yoyote duniani, hivyo kushindwa kwa siraha ndogo ndiyo mwanzo wa hofu ya NATO na USA kwa sababu kunamlazimisha mrusi kutumia silaha kali ......ndiyo maana ukaona Russia inataka kuchezewa na ukrain mara baada ya mapigano kuanza ...kwa kuwa ukraine alipokea silaha za hali ya juu zisizo kubwa mfano drone za aina mbali mbali na juvelline nk ..sasa hapo utaonda bei ya drone ni ndogo kuliko kombora la mrusi la kulidungua...kwa kuwa makombora ya mrussi kutumika kudungua drone ni hasara maana yaliundwa kudungua silaha za bei ya juu ....ndiyo maana kwenye vita kuna silaha feki zinazo tumika kummalizia Adui silaha zake mfano unatumia drone moja ya kijeshi kwenye madrone 15 feki hivyo unamfanya adui kulipua drone feki na kupoteza siraha zake bure wakati drone ya ukweli inashabulia ....na hii ndiyo maana russia mara nyingi amekuwa anasubiri drone ifanye shambulio moja ndiyo waidungue ...pia mabomu ambayo urusi inayatumia yana weza kutambua mlipuko wake yenyewe na mlipuko wa drone yenye silaha maana zipo drone za upelelezi tu na zipo zenye uwezo wa kushambulia na kupeleleza na zipo drone feki za kumchanganya adui na kummalizia siraha zake
 
Back
Top Bottom