Mr Kactus
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 510
- 2,965
Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi. Aidha ameongeza kua serikali ipo tayari ku-cover gharama za ndoa zote pamoja na kumjengea nyumba Kila mwanamke atakayeolewa.
Vipi wadau mnaonaje hii sheria ikaanzishwa hapa kwetu [emoji12]?
Uzi tayari...