bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Kwanini mnawaza kutunzwa always, wanawake wengine wanajimudu kuolewa ni kama kujooiongezea heshima tu.Huyo anataka tu kuleta migongano na mateso kwa wanawake humo ndani ya ndoa hasa pale mume atakapokuwa hana kipato cha kuweza kuwamudu wote.