Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Kwani mjini ndio inashindikana, we wakuja nini? Kuongea hayo haimaanishi kuwa jambo hili lifanyike bali tunajaribu kupima mizani kati ya maisha ya wazee wetu na sasa yaliyochanganyika na uzungu mwingi.
Kama linawezekana kwa nini unalalamika? Na ni kwa nini wasichague kuishi kiporipori?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mfalme Mswati III wa nchi ya Swaziland ametangaza kwa wanaume nchini humo kuoa wake kuanzia watano au kwenda jela maisha lengo likiwa ni kila mwanamke apate mume.

Taarifa ilitoka kwa mfalme huyo imesema kua wanaume wote wanatakiwa kuoa wake watano na serikali nchini humo itagharamia harusi yote na kuwanunulia nyumba.

Source: Marry 5 wives or be jailed - Swaziland King orders country men - Adomonline.comView attachment 2118667

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Hii habari ni fake ilishakanushwa tangu wiki iliyopita.
 
Kuoa wake wengi haipunguzi tatizo la kuzaliwa wanawake wengi,tena ndo wataongezeka zaidi. Swala la kuzaliwa watoto wengi wa kike kuliko wanaume ni "nature"ndio maana nchi zote wanawake ni wengi kuliko wanaume. Lengo la Mungu ni kuwafanya wanaume wawe na machaguo mazuri.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Akili sijui unawaza Nini. Hivi kawaida ukiwa na ng'ombe kama mfugaji unadhani utapendelea kuwa na wa jinsia gani kwa wingi ama hata kwa kuku.
Wanaume tukifa hata alfu kumi nadhani wanawake 1000 wanatuzaa wanarudisha population katika balance yake.
So ndo Mana unaona hata jeshini me ni wengi Mana hakuna value yoyote Ile.
Wewe ukifa hapo mkeo bado atakuzalia wanao wengi Sana na wataitwa kwa jina lako.
Waache wawe wengi kwani aliyetuumba yeye ni mjinga hataki awe na binadamu wengi na ilhali wewe unayefuga unapenda uwe na kuku kike aka matetea mengi kuliko jogoo.
Pia kumbuka mwanaume mmoja Ana uwezo wa kuwapa mimba wanawake buku..

Seals dume huwa anamiliki jike 30 kazi yake ni kuyatafutia malisho na kuyapandia.
Binafsi napenda niwe na familia like five regions in Tanzania Kama mpanda ama rukwa,mwanza,morogoro,Mara dodoma na Arusha. Yaani nikienda huko Nina mji mie ni kuwawezesha wake zangu.
Ndo ndoto yangu binafsi. Maisha ni kuchagua na kuishi ndoto yako.
 
Mfalme Mswati III wa nchi ya Swaziland ametangaza kwa wanaume nchini humo kuoa wake kuanzia watano au kwenda jela maisha lengo likiwa ni kila mwanamke apate mume.

Taarifa ilitoka kwa mfalme huyo imesema kua wanaume wote wanatakiwa kuoa wake watano na serikali nchini humo itagharamia harusi yote na kuwanunulia nyumba.

Source: Marry 5 wives or be jailed - Swaziland King orders country men - Adomonline.comView attachment 2118667

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mie nimewasili hapa Mwanza jana jioni kwa ajili ya kushiriki kwny hili tukio la 'Kuvunja kitanda'..
👇👇👇

Nikihitimisha huu mtanange, nasepa fasta kuelekea Mbabane, Eswatini 😊
 
Watoto wa kiume ndo wanazaliwa wengi kuliko wa kike. Mfumo wa maisha unapeleka wanaumme wanakufa wengi kuliko wanawake
 
Kama linawezekana kwa nini unalalamika? Na ni kwa nini wasichague kuishi kiporipori?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kusema inawezekana hailalishi kuwa ndio ifanyike. Wapo wanaume wenye wanawake zaidi ya watano na wanawahudumia fresh tu. Tunachoongelea hapa ni uhalalishaji wa serikali kuwa jambo la kisheria.
Maisha ya sasa sio yakulazimishana kipi kifanyike au kipi kisifanyike. Do whatever you want as long as you're abiding on and adhering to country's rules.
 
kiukweli mm asili yangu ni eswatin,huku Tanganyika namlaumu Babu yetu,Ila kwa wakati huu na wito huu wa mfalme,naona kila sababu ya kuanza harakati za kutafuta viza ,niungane na mswati ktk kuenzi mila zetu.
 
Kusema inawezekana hailalishi kuwa ndio ifanyike. Wapo wanaume wenye wanawake zaidi ya watano na wanawahudumia fresh tu. Tunachoongelea hapa ni uhalalishaji wa serikali kuwa jambo la kisheria.
Maisha ya sasa sio yakulazimishana kipi kifanyike au kipi kisifanyike. Do whatever you want as long as you're abiding on and adhering to country's rules.
serikali inakufunga ukioa wake wengi?
 
Hilo life lako la kukaa kunyonyesha home huku mke anapiga mzigo hamna anayelitaka bwana... Enjoy your life but no woman dreams of such a life sorry. Maybe Marioos

Me "ningelinga" kama ningepata mume kama huyu

Nitolee gubu, kinyamkeea..!
 
Back
Top Bottom