Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha


Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.

Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi. Aidha ameongeza kua serikali ipo tayari ku-cover gharama za ndoa zote pamoja na kumjengea nyumba Kila mwanamke atakayeolewa.

Vipi wadau mnaonaje hii sheria ikaanzishwa hapa kwetu [emoji12]?

Uzi tayari...
Haijaletwa tu mnahangaika mara mavumbi ya kongwa,Congo,mara ya Nigeria ikiletwa si ndo mtazikika wote nyie
 
Akili yako ni fupi kama mkia wa pimbi, au wenda ata hiyo akili hauna na kama unayo itakuwa haina akili.. [emoji23][emoji23]

Kwahiyo mke wangu kufanya kazi ukajua yeye ndiyo provider wa familia..? Anyway mimi si muajiriwa ila I'm my own boss pesa haitafutwi inapatikana kwa strategies. Vile tu my wife kaajilwa sehemu nyeti na mimi sitiishwi na mtu na zaidi I love my kids sana. Life kama langu ukilipata utalinga.
Hilo life lako la kukaa kunyonyesha home huku mke anapiga mzigo hamna anayelitaka bwana... Enjoy your life but no woman dreams of such a life sorry. Maybe Marioos

Me "ningelinga" kama ningepata mume kama huyu

 
Back
Top Bottom