Taarifa hii ilikanushwa na msemaji wa serikali ya Estwatini 2019.Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi. Aidha ameongeza kua serikali ipo tayari ku-cover gharama za ndoa zote pamoja na kumjengea nyumba Kila mwanamke atakayeolewa.
Vipi wadau mnaonaje hii sheria ikaanzishwa hapa kwetu [emoji12]?
Uzi tayari...
Hahahahaaaa hapo ndugu Liverpool VPN lazma atabadili msimamo wake.. si alisemaga haoi yeye[emoji2][emoji2][emoji2]Ukisikia amri isiyo na mateso basi ndy hii,Raha sn kupewa amri uoe wanawake watano[emoji39][emoji39]..km kuna mwanaume atafungwa kifungo cha maisha basi labda anaumwa kisukari,mashine inalala km cheni
Baby Karucee Tia neno basi hapa[emoji28]
Aisee!Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi. Aidha ameongeza kua serikali ipo tayari ku-cover gharama za ndoa zote pamoja na kumjengea nyumba Kila mwanamke atakayeolewa.
Vipi wadau mnaonaje hii sheria ikaanzishwa hapa kwetu [emoji12]?
Uzi tayari...
Wewe mpaka niachike na That Gentleman ndo utafurahi.Ukisikia amri isiyo na mateso basi ndy hii,Raha sn kupewa amri uoe wanawake watano😋😋..km kuna mwanaume atafungwa kifungo cha maisha basi labda anaumwa kisukari,mashine inalala haiwezi kuchakata
Baby Karucee Tia neno basi hapa😅
Source pleaseKatika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi. Aidha ameongeza kua serikali ipo tayari ku-cover gharama za ndoa zote pamoja na kumjengea nyumba Kila mwanamke atakayeolewa.
Vipi wadau mnaonaje hii sheria ikaanzishwa hapa kwetu [emoji12]?
Uzi tayari...
Huyo anataka tu kuleta migongano na mateso kwa wanawake humo ndani ya ndoa hasa pale mume atakapokuwa hana kipato cha kuweza kuwamudu wote.