Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Huyo anataka tu kuleta migongano na mateso kwa wanawake humo ndani ya ndoa hasa pale mume atakapokuwa hana kipato cha kuweza kuwamudu wote.
Kwanini mnawaza kutunzwa always, wanawake wengine wanajimudu kuolewa ni kama kujooiongezea heshima tu.
 
Pamoja na ratio yako bado distribution haiko sawa kila nchi. Kingine sidhani km kuna mwanaume aliyekosa mke wa kuoa zaidi ya kuogopa ulemavu wenu kupenda kuishi kwa mtelezo.
 
Pamoja na ratio yako bado distribution haiko sawa kila nchi. Kingine sidhani km kuna mwanaume aliyekosa mke wa kuoa zaidi ya kuogopa ulemavu wenu kupenda kuishi kwa mtelezo.
Nakwambiaje, tukitoa dini tuweke Sheria wanaume waoe wake wengi as possible ili wote tuolewe, mngekosa wake nawaambia
 
Hahahaha kibongo bongo wote mngelundikana Kwa Mo na Bahkresa 😅😅😅
 
Kwanini mnawaza kutunzwa always, wanawake wengine wanajimudu kuolewa ni kama kujooiongezea heshima tu.
Next time you wonder where society went wrong, get back to this comment of yours...

Wanawake siku hizi tunaoa ma housegirl.. yani nazaa kichanga changu akifika 3months namtelekeza Kwa housegirl me naenda kupiga debe huko juani, mume yuko JF anasema wanawake sio walemavu wanataka heshima ya ndoa
 
Hajui ndoa nyingi zinashikiliwa na nguvu ya pesa badala ya upendo
Hakika na hata yeye ana wake wengi na watoto idadi asiyoifahamu sababu ana uwezo wa kumudu wake wote hao.

Kama ni ukweli huyo Mswati anahitaji kutafakari upya.
 
Tunabisha nyie ndio mnahuitaji sana
 
Na hata kama dunia nzima ingeweka sheria wanaume waoe wanawake wengi as possible ili asibaki hata mwanamke mmoja asiyeolewa, I tell you wanawake tungeenda kujazana Kwa wanaume wachache sana,...
Vigezo gani vingetumika kuchagua hao wachache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…