Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Naona Ethiopia wanaongoza kundi.
Yaani kaka nimeshangilia magoli ya hawa waabeshi hatari. Jamaa nilianza kuwafuatilia toka afcon wanapiga very beautiful football tatizo ni finishing moves zao. Ata leo egypt alikuwa anakula nne safi kabisa bila wasiwasi.Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt.
Hii mechi inauhusiano gani na Tanzania?
Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na kigogo wa bara la Afrika, Misri.
Misri kama ilivyo Algeria ni kigogo wa soka la Afrika, akiwa ametoka kucheza fainali miezi michache tu iliyopita.
Lakini ukitazama mechi ya leo vijana wa Ki Ethiopia wame dorminate kila idara, Ethiopia wanacheza kwa kujiamini sana.
Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka la wanaume.
Enzi za Egypt zimekwishaKwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt.
Hii mechi inauhusiano gani na Tanzania?
Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na kigogo wa bara la Afrika, Misri.
Misri kama ilivyo Algeria ni kigogo wa soka la Afrika, akiwa ametoka kucheza fainali miezi michache tu iliyopita.
Lakini ukitazama mechi ya leo vijana wa Ki Ethiopia wame dorminate kila idara, Ethiopia wanacheza kwa kujiamini sana.
Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka la wanaume.
Jamaa wana cheza vizuri sana yaani mpira wa kueleweka, leo wangeweza kufunga hata goli 4,5 sema tu ndo hivyo striker wao hakuwa makini. Ila timu overall iko vizuri sana.Yaani kaka nimeshangilia magoli ya hawa waabeshi hatari. Jamaa nilianza kuwafuatilia toka afcon wanapiga very beautiful football tatizo ni finishing moves zao. Ata leo egypt alikuwa anakula nne safi kabisa bila wasiwasi.
Mechi dhidi ya malawi walifungwa but bado walipiiga mbungi hatari. They just didnt creat chances kama leo. Unaona kabisa hii timu inafundishwa.
Furthermore, timu nzima wachezaji wanacheza ligi yao excelt one player ambaye anacheza egypt. Kocha ni mzawa. Kwa kweli jamaa wapo vizuri. Huyu kocha wao nasema hivi kuna club kubwa baraninaftica watamchukua...he has done a very gud job. Yaani timu unaiangalia unafurahia mpira.
Hili liwe fundisho kwa tff mnaweza kutengeneza timu nzuri tuu ukiwa na kocha mzawa na wachezaji wa ndani.
Kwa kweli ethiopia national team ni fundisho kwa waafrica u can do it kama una nia. Cant wait for september watakapo cheza na gunnie. Itakuwa bomba la game.
Kaka ule mziki balaaa ..yaani nilishangilia yale magoli tafikiria ni mzaliwa wa ethiopia.Jamaa wana cheza vizuri sana yaani mpira wa kueleweka, leo wangeweza kufunga hata goli 4,5 sema tu ndo hivyo ma striker wao hawakuwa makini.
Naona Ethiopia wanaongoza kundi.
Naona Ethiopia wanaongoza kundi.
Tuwekee na ya Egypt dhidi ya Ethiopia ili tuone .Kuhusu taifa stars, hivi kweli sisi wa kuifunga Algeria mkuu!! Refer records zetu na Algeria, zile 7 unazikumbuka!! Ngoja nikuwekee rekodi zao dhidi yetu, hapa nakuwekea from 2015-2019, huko nyuma utagoogle ujionee
View attachment 2256103
Tuwekee na ya Egypt dhidi ya Ethiopia ili tuone .
Nothing lasts longer
Mwarabu koko zama zenu hizo zimekwisha sasa mnatandikwa tu.View attachment 2256139
Kuna siku hapo aligongwa goli 8 na goli 6 na goli 5, fanya hesabu ameshinda mara ngapi.
MI NAONA HATUNA SAFARI.Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt.
Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania?
Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na kigogo wa bara la Afrika, Misri.
Misri kama ilivyo Algeria ni kigogo wa soka la Afrika, akiwa ametoka kucheza fainali miezi michache tu iliyopita.
Lakini ukitazama mechi ya leo vijana wa Ki Ethiopia wame dorminate kila idara, Ethiopia wanacheza kwa kujiamini sana.
Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka la wanaume.
Mwarabu koko zama zenu hizo zimekwisha sasa mnatandikwa tu.