Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

Tunatunza hii comment tutarudi hapa miezi michache. Hata Eritrea walianza hivi nishasema uko juu
Wangekuwa wanajitenga wasingeungana na waasi wa Ola au makundi mengine ili kumpinga Abiy ila wangebaki peke yao tu.
 
Ila jamaa mgumu kuelewa atarii 😀😀
 
Hilo jeshi limetumwa na Wamisri, issue ni bwawa la Gerd
 
Wangekuwa wanajitenga wasingeungana na waasi wa Ola au makundi mengine ili kumpinga Abiy ila wangebaki peke yao tu.
Rejea vita yao ya 1993 mbona kama umeiruka hiyo historia. Waliungana waasi hivihivi alafu Eritrea ikajitenga
 
Rejea vita yao ya 1993 mbona kama umeiruka hiyo historia. Waliungana waasi hivihivi alafu Eritrea ikajitenga
Kwa Sasa ni tofauti mkuu.....wanataka kurudi madarakani tu sio kujitenga maana itakuwa vigumu kutambulika na kujiendesha
 
Ila kitendo cha kushirikiana na Eritrea kulishambulia jimbo lake la Tigray lilikuwa ni usaliti mkubwa kwa mamlaka yake.
Mkuu nyuma ya Eritrea pia kulikuwa na vikosi kutoka somalia na hii pia baada ya taarifa za ujasusi kuvuja kwamba kuna vijana wa somalia wanapigana upande wa serikali ya Ethiopia nako kule somalia ilileta matatizo makubwa ila ukweli ni kwamba watgray kuungana na oromo ni moja ya kosa ambalo halikutakiwa kufanyika yaani hapo Abby ahmed sijui tu itakuaje
 
Kwani imeandikwa wapi kuwa ni lazima uilazimishe mwanZa kuwa sehwmu ya Tanzania labda wamwanza wenyewe wamechoka kuwa watanzania na hawaitaki tena Tanzania ndo maana wakaamua kujitenga
Ipo kikatiba tafakari vizuri,utajua Mwanza haiwezi kuwa nchi mpaka hapo katiba itakaposema tofauti.So ikitokea Mwanza ikalazimisha kujitenga,huo utakuwa ni uasi na tutadeal nao kama waasi wengine tu
 
Ipo kikatiba tafakari vizuri,utajua Mwanza haiwezi kuwa nchi mpaka hapo katiba itakaposema tofauti.So ikitokea Mwanza ikalazimisha kujitenga,huo utakuwa ni uasi na tutadeal nao kama waasi wengine tu
Hii katiba iliandikwa na nani labda Mungu au nani kama ni Mungu sawa lakini kama ni binadamu manake ni tamaa tu za kimwili na kimaslahi za binadamu ndo zilizopelekea kuandikwa kwa katiba ya aina hii
 
UN Na NATO ni moja kati ya makundi ya kigaidi hatari kuwahi kutokea dunian;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…