BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa zikiingilia uhuru wa Waandishi wa Habari wakiwemo wanaofanya Habari za Uchunguzi.
Onyo hilo limetokana na malalamiko kutoka Kituo cha Televisheni cha Esat TV kudai kuwa imepokea barua ya vitisho kutoka Mahakama jijini Addis Ababa ikiwataka waandishi wake kuachana na Habari za Uchunguzi.
Kwa mujibu wa Taasisi ya #ReportersWithoutBorders (RWB) Uhuru wa Maoni na Vyombo vya Habari chini ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed bado una mgawanyiko ingawa kuna mabadiliko makubwa kulinganisha na Utawala uliopita. Zaidi ya Vyombo vya Habari 200 vilivyopigwa marufuku, Vimefunguliwa.
=============
The state-funded Ethiopian Media Authority (Ema) has issued a statement
calling on the authorities to stop harassing media workers, particularly investigative journalists.
It came after the privately owned Ethiopian Satellite Television (Esat TV) said last week that it had received what it called a letter of intimidation from a court in the capital, Addis Ababa.
“Of late, a tendency to stop the work of investigative journalism has been observed,” Ema said.
"In line with the responsibility bestowed on it to create an enabling environment for the mass media, the Ethiopian Media Authority calls for an end to the harassment of investigative journalists by any quarters."
BBC