pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Unadhani kila mtu hapa jf ni mswahili? Tafta mwanamke, hata mchuuza ngono ukipenda. Kuza familia yako kwanza, hapo sasa ruksa kujiita mwanaume. Wenzako tulishakutangulia, hapo huna cha kunifunza. Wewe endelea kukesha hapa Kenya news.Huna malinda hapo ulipo. Nauwakika unatembea na gunzi yasikushuke