Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,381
Na iyo elfu kumi wamesema imepanda.Na tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Mto Nile unaanzia wapi!?..maji yalikua Bei moja miaka ya 90 hata uwe na bustani na umwagie kutwa,idara za maji zilifeli..acheni kupenda bureNa tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Unaanzia ziwa viktoria na aswan imefungamana na nyerere hydro damMto Nile unaanzia wapi!?..maji yalikua Bei moja miaka ya 90 hata uwe na bustani na umwagie kutwa,idara za maji zilifeli..acheni kupenda bure
Anatumia jiko la umeme pasi AC etc. Je maji ni flat rate anarumia bila kujibana?Mama anatumia umeme wa 10K anapata unit 64
Huwa anatumia miezi 2
Maji anatumia unit 1 kwa mwezi ambayo bei yake ni buku na Mia mbili
Mwaka jana kimekosa nililipa bili ya maji laki mbili na nusu nilipoenda idara ya maji wakaniambia nirudi baada ya miaka 3 kuangalia nitakuwa nimebakiza kiasi gan ili nianze kupata sms ya bili
Mbona Mimi natumia chini ya elfu 10 Kwa mwezi kwenye umeme na maji chini ya 100k Kwa mwaka?Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.
Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Unavyoiita Ethiopia nchi maskini kama Ethiopia ni kwamba unadharau sanaInashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.
Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Kwani Tanzania kwa mwezi umeme ni shilingi ngapi?Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.
Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Haya Ndio mambo ya kuiambia ccm na kuiondoa Magogoni 2025.Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.
Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Kwa hiyo Ethiopia hakuna Nile?Unaanzia ziwa viktoria na aswan imefungamana na nyerere hydro dam
Ni kweli wao wanakula huku ila wanaliwa kule.bure inagharama