Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Unaambiwa Ethiopia ndio WAMEINGIA 2019, kama una 30 bongo ukienda Ethiopia unakua na 23 ebwana ehhh huko ndo pakwenda kula pensheni, mi kuanzia sasa ni muethiopia
Ukienda na mume wako ambaye Yuko 23 hapa bongo kule mnakuwa under 18 na mnashtakiwa kwa kosa la kubaka.Unaambiwa Ethiopia ndio WAMEINGIA 2019, kama una 30 bongo ukienda Ethiopia unakua na 23 ebwana ehhh huko ndo pakwenda kula pensheni, mi kuanzia sasa ni muethiopia