mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Ndivyo mnavyodanganyana sioMjeshi nimeanza kushindwa kuishi bila wewe 😆😆😆
Ndivyo mnavyodanganyana sioMjeshi nimeanza kushindwa kuishi bila wewe 😆😆😆
Dah....Baada ya kuniambia hivyo namimi nikamjibu kwamba.....
Mbona ameishi karibu na baba yake miaka yote na bado yupo hai...🤣
Ndani pamewaka moto, Gen-Z kakukatana na majibu ya mubaba wake...🤨
Au nimekosea kumjibu wakuu....🙄