Eti akiishi karibu na mwanaume masikini, anaweza akaishiwa pumzi

Baada ya kuniambia hivyo namimi nikamjibu kwamba.....

Mbona ameishi karibu na baba yake miaka yote na bado yupo hai...🀣

Ndani pamewaka moto, Gen-Z kakukatana na majibu ya mubaba wake...🀨

Au nimekosea kumjibu wakuu....πŸ™„
Dah....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…