Tetesi: Eti Baby Latifah sio wa Diamond

Tetesi: Eti Baby Latifah sio wa Diamond

Ivan alisema yeye atagharamia gharama zote za kupima DNA

Huyo Ivan nae shoga tu. Demu atombwe na wahuni wengine mpaka apate mimba ye akae kuandika mitandaoni eti atalipia DNA. Kama anafikiri ni mwanae si akamchukue, anaogopa nini? Mtu kama huyu anakuwa braza wangu lazima nimpe mikofi anaidhalilisha familia.
 
Hizi habari ni za wale wanaosoma magazeti ya Ijumaa, au akigusa gazeti la Mwananchi anakimbilia kwenye katuni.
 
cia , mossad simple mind? soma vizuri acha kukurupuka
 
Kiukweli Diamond kajichanganya sana kwa zali hatukatai alikuwa anatafuta kick zaidi kwa bosslady japo nae zari kaboostiwa sana na mond kujulikana ila very soon tutampoteza kijana huyu kwa wimbi la mawazo mana background ya zari ni kudate na mtu either famous sana au awe na pesa mno so diamond mziki wake watu wanauchoka atapotea na zari atabwaga na kutojiweka karibu nae hapo ndo kijana wetu ataona kwanini asingeoa mtoto maarafu wa hapa bongoland tu au kigoli ambae si famous? Kumbuka zari ana battle sana na wadada wa team wema ivo mond akifulia sidhani kama bongo land atapaweza kupakaaa
Nikuongezee nyama kuna watu mjini hapa wanawapa high class maisha dada zetu kasha wana wabwaga sasa pale mdada bi shost anajikuta hana tena gari ya bei ghali wala maisha yale maisha ya mwanzo hapo ndio bi dada anakuwa kitu foz ndio diamond watakavyo mfanya
 
Wanaume wa dar kazi kwelikweli:-!

Acha kufuata mkumbo wewee. Wanaume wa Dar ni wasafiri, mabaharia, wasomi, wapiga dili, watu wa mission na ni watu smart sana. We kaa huko huko usije na jembe huku.
 
Tuachage maumbea kama watoto wa kike, haya wewe Tumainieli si mwanababa wewe?

Bahati mbaya mamangu nimemzika, angetuambia kwa kuangalia midomo ya baba na mtoto tajwa
 
Mnapga kelele wakat wenzenu washagawana ivan watoto 3,Diamond mtoto 1+ mzaa chema.
 
Watanzania bado wanang'ang'ana na habari za kipuuzi
 
Wema huamini kama ameshakuacha mazima unatafuta kujirudisha lakini jamaa hana mpango,acha kupoteza muda wako fanya yako.
images

Diamond adai kumpima Tiffah DNA ni kutojiamini – Bongo5.com
 
Zari ndiye anayemjua baba halisi wa mtoto. Awe wa Ivan au wa Diamond we have nothing to discuss. Haitusaidii hata kidogo. Role yetu kwenye familia ile ni kumsapoti tu Diamond katika kazi zake kwa ya uzalendo wetu. Tukitumia muda wetu kujadili yasiyotusaidia ni hasara maana tungetumia muda huo kujengana kiuchumi, kijamii, kiimani and the like. Ni mawazo yangu tu, I stand to be corrected.

I second you #mamafive..DNA haitusaidii chochote kwa kweli awe mwanae au laah! Wat matter is kumsapoti mond bin laden bhaas ayo mengine ayatuusu kiukweli
 
Huyo Ivan nae shoga tu. Demu atombwe na wahuni wengine mpaka apate mimba ye akae kuandika mitandaoni eti atalipia DNA. Kama anafikiri ni mwanae si akamchukue, anaogopa nini? Mtu kama huyu anakuwa braza wangu lazima nimpe mikofi anaidhalilisha familia.
Huwajua waganda wewe hawababaiki na papuch wala kuganda papuch, na hata wanawake wa kiganda kukupa papuch na kumzalisha ufahari kwake, hata usipomuoa na hata uwapange 10 muhim kazaa na wewe.
 
Taifa linatafunwa usiku na mchana alafu aakija mtu kutaka kumtafutia daimond kick humu?
 
Nikuongezee nyama kuna watu mjini hapa wanawapa high class maisha dada zetu kasha wana wabwaga sasa pale mdada bi shost anajikuta hana tena gari ya bei ghali wala maisha yale maisha ya mwanzo hapo ndio bi dada anakuwa kitu foz ndio diamond watakavyo mfanya
Kwa kutaniria wenzenu mabaya mko juu....nyie mmefanya nn la maana kufanya ata mtakapo kuwa hampo hai mkumbukwe achen dhana za ushekh yahya fanyeni kazi
 
Huwajua waganda wewe hawababaiki na papuch wala kuganda papuch, na hata wanawake wa kiganda kukupa papuch na kumzalisha ufahari kwake, hata usipomuoa na hata uwapange 10 muhim kazaa na wewe.
Umezaa nao wangap ww?
 
Wacheni na maisha yao,ebu angalieni watoto wenu kama niwakwenu wengine watoto wamefanana na wauza Genge wengine wamefanani na Mangi,wengine na Mpemba yule jirani yenu mbona hamuwapimi DNA? ebu funikeni kombe mwanaharamu
apite....sio vizuri kumsakama mtoto wa mwenzenu 24/7....
 
Nasikia wanaume wa Darisalama ndo wateja wakubwa wa magazeti ya Sani,Ijumaa,Risasi na Kiu kuliko akina dada.Haya ndio matokeo yake.
 
Kitu kinanikera ktk wachangia wengi wanachuka híi habari kiumbea na majungu. Badala yakuichukua postive nakuona vile Diamond aweza saidiwa asije kuanguka uko mbelen na uwenda kuanza tumia dawa za kulevya. Mkumbuken familia ya Whitne ambapo mtoto na mama wamekufa ila chanzo mapenz. Tena nyuma ya pasia kuna siri kubwa ya mziki wake. Jaman cc bado wadogo sana. Umafya hatu uwezi. Diamond anaitaji msaada wakimawazo ili awe salama.
 
Huwajua waganda wewe hawababaiki na papuch wala kuganda papuch, na hata wanawake wa kiganda kukupa papuch na kumzalisha ufahari kwake, hata usipomuoa na hata uwapange 10 muhim kazaa na wewe.

Nonsense. Kwani nani kakwambia wanaume wa kibongo tunababaikia papuchi? Au wanawake gani wa kibongo wasiotoa papuchi? Huyo zoba kama anajua ni mwanae kwanini anakaa kuandika Instagram tu? Kwanini haendi kumchukua mwanae anaogopa nini? Mwanaume kushindana na boyfriend wa x-wife wako inadhihirisha aidha you're insecure au shoga.
 
Back
Top Bottom