[emoji7][emoji7][emoji7] Hapo sasa mie hoi kwako hunnie, hujui kujibana, waleleeeeeeeeeeeeeh, acha nideke mie, uwiiiiiiiiiiiihKuhusu hilo usijari dear,nitafanya hivyo[emoji3059]
California love
Lazima nigharamikie coz real you are beautiful[emoji7][emoji7][emoji7] Hapo sasa mie hoi kwako hunnie, hujui kujibana, waleleeeeeeeeeeeeeh, acha nideke mie, uwiiiiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan na me nkahis hvyo labda mil 1, maana mil 10 sio mchezo weeeeh, uwiiiiiiiiiiiih
Huhuhuhuh jomoneeeeh hubbieeeeh a cant blv, dats dai, lol am waitn [emoji39][emoji39][emoji39]Lazima nigharamikie coz real you are beautiful
California love
Hapana kwa kweli, weeee mil 10 sasa c angeacha kudanga mda tyuuuh, khaaaaaah.Milioni kumi hata wewe upewe kwa kazi ya kupanua mapaja tu,, shetani angekuweka majaribuni.. ungeweka tu sharti kinga itumike
Ok,I miss you my honey [emoji7][emoji182]Huhuhuhuh jomoneeeeh hubbieeeeh a cant blv, dats dai, lol am waitn [emoji39][emoji39][emoji39]
Mic u ma babeeeeh [emoji39][emoji39][emoji39], njoo unipe kenye kitu roho inapenda , uwiiiiiiiiih [emoji2089][emoji2089][emoji2089]Ok,I miss you my honey [emoji7][emoji182]
California love
Hahaa nakuja,afu nimemiss your voice [emoji3526]Mic u ma babeeeeh [emoji39][emoji39][emoji39], njoo unipe kenye kitu roho inapenda , uwiiiiiiiiih [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hakuna mwanamke ana kataa hela mkuu
Hahahah usjal nilizaliwa kwa ajili yako hunnieeh, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Hahaa nakuja,afu nimemiss your voice [emoji3526]
California love
Oooooh that's goodHahahah usjal nilizaliwa kwa ajili yako hunnieeh, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nyingi hivi kuhongwa, ingekuwa hivo njaa zingewaisha.10m acha tucheke,kwahiyo mechi 10 ananunua nyumba sinza au mwenge
Mimi Sina hela Ila ku date na diamond siwezi kabisa naona najizalilisha Mana ni mtu mswahili flani hata akili yangu tumetofautiana Sana. Saa nyingine utu ni Bora kuliko helaInategemea, hela sio kila kitu kwenye mahusiano, hivi kuna mwanamke anaependa kudhalilika kisa pesa? Diamond yeye ametembea na kila mwanamke na amezaa hovyoo kila mahali halafu bado tuna mimi nijiingize kwenye mahusiano nae kisa pesa? Pride yangu kama mwanamke ipo wapi, hata kusimama mbele za watu kumtambulisha kama mpenzi ni aibu unaku aunajidhalilisha n watu wanakua wanakuchora tu
Ndio maana nikasema, kila mwanake anajua anachokitafuta kwenye mahusiano, wengine wanatafuta futere, wengine pesa, wengine upendo, wengine umaaarufu ila mimi mwanaume type ya diamond hata awe bilionea hanipati, abaki hukohuko na pesa zake atawapata wale wanaotafuta pesa na umaarufu kwenye mahusiano
Yeaaah le bebez [emoji23][emoji23][emoji23],Oooooh that's good
California love
Shangaa na weee mwenzangu khaaaah, km mtu m1 n mil 10, si angeshaacha kudanga zaman lolNyingi hivi kuhongwa, ingekuwa hivo njaa zingewaisha.
Huyo hata milion haifiki maana wahongaji sikuhizi vyuma vimekaza kina uwoya tu wanalia njaa Sasa hivi.Shangaa na weee mwenzangu khaaaah, km mtu m1 n mil 10, si angeshaacha kudanga zaman lol
My Beyonce [emoji3059]Yeaaah le bebez [emoji23][emoji23][emoji23],
Mimi Sina hela Ila ku date na diamond siwezi kabisa naona najizalilisha Mana ni mtu mswahili flani hata akili yangu tumetofautiana Sana. Saa nyingine utu ni Bora kuliko hela