The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mtaa wa Kongo kuna duka la Gucci??ficha upumbavu wako...mtaa wa kongo 200% ni fake,copy products kuanzia nguo,electronics,saa na ata handbags.
Oyaa Dogo Kamoooonn kuwa mpole na mstaarab kwenye uzi wangu.Ficha ukapuku wako!!!, how 100% sure are you that dress is Gucci product???, miafrika imezoea kudanganywa na wazungu toka enzi za utumwa na ukoloni.
Hao wazungu wanapenda ujiko na hasa wanapokuwa ni Public figures isitoshe Makampuni makubwa ya "mavazi" kama Gucci, Adidas, Puma nk, yanapenda kuchukua nafasi kama hiyo ya Melania kupiga kura kujitangaza kibiashara, ni mostly not true that dress to cost such amount of US dollars. Hicho ni kitambaa cha kawaida tu kutoka China au popote duniani.
Fumbukeni macho nyinyi watu weusi, mmezoea kudanganywa na ndio maana hadi leo mnaibiwa dhahabu, Almasi nk na watu weupe.
Dah, umempa za uso. Heshima Mkuu.Mtaa wa Kongo kuna duka la Gucci??ficha upumbavu wako...mtaa wa kongo 200% ni fake,copy products kuanzia nguo,electronics, saa na ata handbags.
kwanza inaonekana toka uzaliwe ujatoka nje ya Tanzania,Ukapuku wangu mimi umejaa uelewa wa mambo.Mama ako ata uwezo wa kununua Pad ya Gucci awezi🤣🤣🤣. ondoa Stress zako ,usilete ujuaji wakati wewe ni kilaza...check hizi picha alafu nambie nimnunulie kipi mama ako nae afanane kidogo na mama TrumpFicha ukapuku wako!!!, how 100% sure are you that dress is Gucci product???, miafrika imezoea kudanganywa na wazungu toka enzi za utumwa na ukoloni.
Hao wazungu wanapenda ujiko na hasa wanapokuwa ni Public figures isitoshe Makampuni makubwa ya "mavazi" kama Gucci, Adidas, Puma nk, yanapenda kuchukua nafasi kama hiyo ya Melania kupiga kura kujitangaza kibiashara, ni mostly not true that dress to cost such amount of US dollars. Hicho ni kitambaa cha kawaida tu kutoka China au popote duniani.
Fumbukeni macho nyinyi watu weusi, mmezoea kudanganywa na ndio maana hadi leo mnaibiwa dhahabu, Almasi nk na watu weupe.
Yaani kuna mijitu,inaonekana kabisa imejaa stress na ubwege mwingi sana! msamehee bureOyaa Dogo Kamoooonn kuwa mpole na mstaarab kwenye uzi wangu.
Sauh'waaa?
Oyaa Dogo Kamoooonn kuwa mpole na mstaarab kwenye uzi wangu.
Sauh'waaa?
Dogoo Kamoooonn nitakukamua marvey inaonekana hunijuiTell him too, kama ni uzi wako upeleke kwa mkeo.
Once it is in here, then it is a jf members thread.
Wengi ndio wanasema hivyo. Sijui wana maan ganiUmewahi kusikia msanii mmoja hapa wa kibongo akijitapa kuwa wigi lake la nywele eti milioni kadhaa nilicheka sana.