Haya mimi na uha wangu nauliza;, kama bei za vitu zinajulikana basi nionyeshe bei ya gauni tu la huyo Melania Trump (hilo gauni alilovaa akienda kupiga kura), kumbuka bei za magauni mengine zimeonyeshwa.
Sasa uonyeshwe bei ya gauni wakati aliyelivaa yupo mtaani?
Umeshaambiwa ni dola kadhaa..
Tatizo unapiga hesabu kwa pesa za madafu..
Usijilinganishe kwa vitu vyote ulivyovaa na watu wengine,,,
Utakuwa kituko kwa watu mkuu next time.
Lazima utakuwa ni mtu wa aina hii.
- kiatu- 7000 Tz sh.
-simu- tecno 60000 Tz sh.
-mkanda ...aina ya chadra pandu Tz sh 4000
Suruali . aina ya savco 9000 Tz sh
Chupi..boxer 1000 Tz sh
Soksi ..1000 Tz sh.
Saa aina ya pyan pyu...2500.Tz sh.
Miwani ..aina ya ray boo 2500 Tz sh
Perfume Yolanda 3500 Tz sh.
Jumla ya vitu vyote ulivyovaa mwilini pamoja na simu yako ya mkononi ni 90500 / Tz sh..
Mkuu lazima uone ni kigeni sana mambo hayo.
Hata mm ningebisha sana kwa hilo la Melanie trump.