Eti gauni alilovaa leo Melenia Trump akienda kupiga kura ni shilingi millioni 15

Za milioni kumi na tano hata first lady wetu mama Janet Jiwe anavaaga ,Trump na Mrs wake bahiri sana bora wasichaguliwe tena.
 
Mkuu unatia aibu,,,wenzetu wazungu wanavaa brands za vitu mfano GUCCI, NIKE ,nk..
Hawavai kusitiri makalio..
hivi 5000 US dollars ni pesa za kumshinda mke wa Tajiri?na akivaa hilo gauni mara moja harudii tena kuvaa..tena pamoja na kuvaa hilo gauni bado kuna sehem anaona aibu kwenda nalo.
Linaonekana ni pesa ndogo sana kwa mtu kama yeye kuvaa .
Usiwe mbishi kama vitu huvijuwi..
Wazungu vitu vyao dukani haviuzwi kwa siri,,
Vinawekwa bei kila mtu anaviona..
Ingia kwenye account za akina Beyonce,, uone kufuru zisizompendeza MUNGU.

Okay, niwekee hiyo nguo ikiwa na bei yake hapa.

Could you please bring me a picture of the dress bearing a price tag with such amount of money??!---- according to you; there is no secret of prices for those stuffs.
 
Tena mleta uzi kasema dola 5000..
Lakini kiuhalisia ni dola 17,000 US dollars hadi 20,000 US dollars.
Hizo pesa ukizifikiria kwa pesa zetu ni pesa nyingi sana,,ila kwa mastaa ni kawaida tu. .
Uzuri vitu vya duniani vitu vyote vina bei zake ,,na watu wote wanazijuwa.
Screenshot_2020-11-06-08-10-26.jpeg
Screenshot_2020-11-06-08-12-09.jpeg
Screenshot_2020-11-06-08-08-09.jpeg
Screenshot_2020-11-06-08-08-25.jpeg
Screenshot_2020-11-06-08-06-00.jpeg
Screenshot_2020-11-06-08-07-12.jpeg
 
Tena mleta uzi kasema dola 5000..
Lakini kiuhalisia ni dola 17,000 US dollars hadi 20,000 US dollars.
Hizo pesa ukizifikiria kwa pesa zetu ni pesa nyingi sana,,ila kwa mastaa ni kawaida tu. .
Uzuri vitu vya duniani vitu vyote vina bei zake ,,na watu wote wanazijuwa.View attachment 1620549View attachment 1620550View attachment 1620551View attachment 1620552View attachment 1620553View attachment 1620554

Mara $ 5,000 mara $ 20,000, which is which???!!, si ndio ninasema huo ni uongo.

Sasa kwa kurahisisha mambo, onyesha hilo gauni na bei yake, mimi sitaki hayo magauni mengine uliyoyaonyesha na bei zake, nataka lionyshe hilo la Melania Trump na bei yake.
 
.???[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mara $ 5,000 mara $ 20,000, which is which???!!, si ndio ninasema huo ni uongo.

Sasa kwa kurahisisha mambo, onyesha hilo gauni na bei yake, mimi sitaki hayo magauni mengine uliyoyaonyesha na bei zake, nataka lionyshe hilo la Melania Trump na bei yake.
Kama unabishana mm siwezi ubishani,,ila ukitaka kupata faida ya kuelewa mambo ya bei ya vitu vya mastaa ya majuu ingia Google..
Utajionea mwenyewe,,
Dola 5000 ni ndogo sana kwa nguo za mastaa..
 
Nauliza hivi: je hilo gauni la Melania lilikuwa ni moja tu (special for her only) au yapo mengine ya aina hiyo??---- kama yapo basi onyesha bei yake kama jinsi ulivyoonyesha bei za hayo magauni mengine.

Mimi sishangai hicho unachosema juu ya Americans celebs, kufanya matanuzi ya vitu vya bei kali, shida ipo kwenye ushahidi kwamba kitu fulani alichonunua Celeb, fulani bei yake ni kweli???.

Kumbuka, Celebs, wanayo sifa moja ya kupenda ujiko (prestige), wanaweza kufanya jambo dogo la kawaida na watatafuta umaarufu juu ya jambo hilo hata kwa njia za uongo na hila ilimradi to attract people's attentions, tabia hii wanayo hasa wazungu, isitoshe pia huwa kuna business adverts katika mambo kama hayo, mfano utaona kupitia hilo gauni pia kampuni ya Gucci imetangaza jina na proructs zake zingine.

Swali linabaki pale pale, je ni kweli hilo gauni bei yake ni hiyo $ 5,000 au $ 20,000 ??, ukweli ni upi??7--- hapo nafasi ya uongo ipo kubwa ili kukidhi hizo sababu nilizokujuza huko juu.
 
Kila mtu ajikune kulingana na urefu wa mkono wake.
Alafu usisahau hyo hela kwa huko kwao Haina thamani Kama ukichange kwa hela za NEC CCM.
 
Nauliza hivi: je hilo gauni la Melania lilikuwa ni moja tu (special for her only) au yapo mengine ya aina hiyo??---- kama yapo basi onyesha bei yake kama jinsi ulivyoonyesha bei za hayo magauni mengine.

Mimi sishangai hicho unachosema juu ya Americans celebs, kufanya matanuzi ya vitu vya bei kali, shida ipo kwenye ushahidi kwamba kitu fulani alichonunua Celeb, fulani bei yake ni kweli???.

Kumbuka, Celebs, wanayo sifa moja ya kupenda ujiko (prestige), wanaweza kufanya jambo dogo la kawaida na watatafuta umaarufu juu ya jambo hilo hata kwa njia za uongo na hila ilimradi to attract people's attentions, tabia hii wanayo hasa wazungu, isitoshe pia huwa kuna business adverts katika mambo kama hayo, mfano utaona kupitia hilo gauni pia kampuni ya Gucci imetangaza jina na proructs zake zingine.

Swali linabaki pale pale, je ni kweli hilo gauni bei yake ni hiyo $ 5,000 au $ 20,000 ??, ukweli ni upi??7--- hapo nafasi ya uongo ipo kubwa ili kukidhi hizo sababu nilizokujuza huko juu.
Mkuu nimekupa ushahidi wa magazeti ya marekani na jinsi gauni linavyouzwa,,
Wewe unataka ushahidi wa bei wa aina gani?
Na hata hayo magauni yapo special kwa anayetaka kununuwa kama hilo.
Kama ingekuwa ni ujiko? Wasingesema bei hao watu wa magazeti..
Mbona kuna siku Ronaldo alivaa earphone za euros 20 kila mtu alizijuwa na wakazungumza hilo?
Wenzetu bei za vitu wanavijuwa..si kama star ndy anatamka bei..
Jifunze kufanya window shopping.. Utajuwa bei za vitu hata hapa kwetu bongo..

Hapo sio Melanie anayesema gauni bei yake. ,,
Bali ni waandishi ndy wanasema bei ya gauni na vitu alivyovaa ,,sababu bei zake zinajulikana vinavyouzwa dukani..
Screenshot_2020-11-06-08-10-26.jpeg
Screenshot_2020-11-06-08-12-09.jpeg
 
Mkuu nimekupa ushahidi wa magazeti ya marekani na jinsi gauni linavyouzwa,,
Wewe unataka ushahidi wa bei wa aina gani?
Na hata hayo magauni yapo special kwa anayetaka kununuwa kama hilo.
Kama ingekuwa ni ujiko? Wasingesema bei hao watu wa magazeti..
Mbona kuna siku Ronaldo alivaa earphone za euros 20 kila mtu alizijuwa na wakazungumza hilo?
Wenzetu bei za vitu wanavijuwa..si kama star ndy anatamka bei..
Jifunze kufanya window shopping.. Utajuwa bei za vitu hata hapa kwetu bongo..

Hapo sio Melanie anayesema gauni bei yake. ,,
Bali ni waandishi ndy wanasema bei ya gauni na vitu alivyovaa ,,sababu bei zake zinajulikana vinavyouzwa dukani..View attachment 1621884View attachment 1621885

Haya sasa unaona!!!??---- mleta mada anaandika bei ya gauni ni $5,000, magazeti mawili tofauti yanaandika kila moja bei tofauti ni $17,000 na $20,000, mimi nikasema gauni kama hilo nilipata kuliona mtaa wa kongo likiuzwa kwa Tsh 35,000/=.

Haya sasa, ni nani mkweli hapo???
 
Hyo wameandika vitu vyote kwa ujumla vinafika bei hyo,,,
Ukichanganya na gauni..
 
Hao waandishi walijuaje kuwa kavaa vitu vya thamani hiyo??
Vitu vyote dukani huulizi bei,,Bali vimeandikwa bei juu ya kitu husika.
Wanajuwa kila kitu na bei yake.

Mambo ya kuingia shop na kuuliza hii bei gani,,au nipunguzie bei wao hawana hyo. Kila kitu ni fixed price mkuu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe jamaa utakuwa ni muha siyo kwa ubishi huo,
Bei za vitu si zinajulikana mkuu?

Haya mimi na uha wangu nauliza;, kama bei za vitu zinajulikana basi nionyeshe bei ya gauni tu la huyo Melania Trump (hilo gauni alilovaa akienda kupiga kura), kumbuka bei za magauni mengine zimeonyeshwa.
 
Back
Top Bottom