Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Unajua kuwa kabla hajaitwa first lady alikuwa mwanamitindo ...
Unadhani kipato chake kina hadhi yakuvaa gauni lenye thamani ya kkoo
Unapoambiwa nchi za dunia ya 1 unaelewa nini juu ya hili
Huyo hakuwa mwana mitindo, alikuwa ni comfort girl katika Casino za Trump, ndipo Trump katika pitapita zake kwenye Casino zake kabla hajawa raisi akavutiwa naye na akavuta ngoma.
Mimi sikatai mambo hayo ya Celebs kutoka dunia ya kwanza kwani hata celebs wa dunia ya mwisho nao pia wanamatanuzi makubwa kama ya dunia ya kwanza.
Hilo gauni kifupi ni kwamba bei yake haijulikani sawasawa, magazeti mawili kila.moja linasema kivyake, moja linasema gauni linagharimu $20,000 jingine $17,000, mleta.mada anasema $5,000. sasa which is which??.
Katika kutetea hiyo bei mleta mada akaja na catalogue yenye nguo na bei zake kutoka Gucci lakini akashindwa kuleta picha na bei ya hilo gauni la Melania. Mimi nikawauliza, je hilo gauni lilitengenezwa maalumu kwa ajili ya Melania kiasi kwamba lisiwepo katika Catalogue ili tulione na bei tuioe???. Hakuna majibu sana sana niliambulia matusi makubwa pia ninambiwa ninatongotongo machoni.
Kuna kitu ambacho sisi ngozi nyeusi hutukijui kut oka kwa wazungu, kulikuwa na sababu gani ya Melania kuvaa hiyo nguo inayoaminiwa na kutangazwa na vyombo vya habari kuwa na thamani kiasi hicho??? (thamani isiyoweza kuthibitishwa), ndiyo maana nikasema kwa wazungu jambo hilo lilikuwa ni moja ya "Trump political campaign milestone'" kupitia vyombo vya habari na magazeti.