Vitu vyote dukani huulizi bei,,Bali vimeandikwa bei juu ya kitu husika.
Wanajuwa kila kitu na bei yake.
Mambo ya kuingia shop na kuuliza hii bei gani,,au nipunguzie bei wao hawana hyo.
Kila kitu ni fixed price mkuu..
Hadithi yako inatufundisha nn?If that is the simple case ,then do whatever you can and bring in here the fix price of the Melania dress.
Wewe jamaa nae hujielewi kabisa, mama mzazi wa mchangiaji kaingiaje kwenye mijadala humu ndani?kwanza inaonekana toka uzaliwe ujatoka nje ya Tanzania,Ukapuku wangu mimi umejaa uelewa wa mambo.Mama ako ata uwezo wa kununua Pad ya Gucci awezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. ondoa Stress zako ,usilete ujuaji wakati wewe ni kilaza...check hizi picha alafu nambie nimnunulie kipi mama ako nae afanane kidogo na mama Trump
Hadithi yako inatufundisha nn?
Kariakoo pale gauni zile ni daraja la nne (mnununzi/mfanyabiashara anakiomba kiwanda kitoe kopi badala ya original ili apate faidaMtaa wa Kongo kuna duka la Gucci??ficha upumbavu wako...mtaa wa kongo 200% ni fake,copy products kuanzia nguo,electronics,saa na ata handbags.
Ila wewe jamaa ni kilaza flani alf mbishi
Unasumbuliwa na wivu, umasikini, chuki wish you a quick recoveryNa wewe ni kilaza mkuu halafu pia ni muongo, mbaya zaidi unataka kudanganya kila mtu.
Unasumbuliwa na wivu, umasikini,chuki wish you a quick recovery
Umeshawahi kuuziwa chochote na mzungu?nje ya bara letu pendwa la shit hole.Inatufundisha kwamba unaposema jambo tafuta kwanza ushahidi, no evidence no right to speak.
Sasa uonyeshwe bei ya gauni wakati aliyelivaa yupo mtaani?Haya mimi na uha wangu nauliza;, kama bei za vitu zinajulikana basi nionyeshe bei ya gauni tu la huyo Melania Trump (hilo gauni alilovaa akienda kupiga kura), kumbuka bei za magauni mengine zimeonyeshwa.
nje ya bara letu pendwa la shit hole.
Sasa uonyeshwe bei ya gauni wakati aliyelivaa yupo mtaani?
Umeshaambiwa ni dola kadhaa..
Tatizo unapiga hesabu kwa pesa za madafu..
Usijilinganishe kwa vitu vyote ulivyovaa na watu wengine,,,
Utakuwa kituko kwa watu mkuu next time.
Lazima utakuwa ni mtu wa aina hii.
- kiatu- 7000 Tz sh.
-simu- tecno 60000 Tz sh.
-mkanda ...aina ya chadra pandu Tz sh 4000
Suruali . aina ya savco 9000 Tz sh
Chupi..boxer 1000 Tz sh
Soksi ..1000 Tz sh.
Saa aina ya pyan pyu...2500.Tz sh.
Miwani ..aina ya ray boo 2500 Tz sh
Perfume Yolanda 3500 Tz sh.
Jumla ya vitu vyote ulivyovaa mwilini pamoja na simu yako ya mkononi ni 90500 / Tz sh..
Mkuu lazima uone ni kigeni sana mambo hayo.
Hata mm ningebisha sana kwa hilo la Melanie trump.
Kwani Africa sio shit hole?Bara letu ni Shit hole???!!, wewe si ndio kipofu wa fikra na mbumbumbu.
Calling our continent a SHIT HOLE inaonyesha jinsi ulivyo, maneno hayo yalitamkwa dhidi yetu na mume wa huyo mnayemtetea (shemeji yenu) kwamba kavaa gauni lenye thamani ya $ 20,000.
Principally, wewe unadhani mke wa tajiri na first lady wa nchi tajiri duniani atasema kivywalo chake ni $ 250 ??!!!, ndiyo maana anaweza kudanganya na kusema mavazi yake ni ghali mno na watu kama nyie msiopima mambo mkaamini.
Hadi sasa bado hujaleta bei ya sokoni ya hilo gauni la shemeji yenu Melania Trump, wewe umeleta bei za magauni mengine na umeshindwa kuleta picha na bei yake kwasababu halipo hata sokoni hivyo ni uongo mtupu wa wazungu ili kumpamba Trump na mkewe as a campaigning milestone. Wakeup, Vuta akili zenu.
Ninaagiza tools na spares kadhaa kutoka nje, kazi yangu inahitaji tools kutoka nje. Hss cutting tools nk.
Nimekuuliza wewe unayejitapa unakwenda ulaya kutalii,,
Ndy niambiye ushatalii inchi gani?
Nikuulize maswali magumu,,
Wacha fix mkuu,,huna cha kutalii wala kwenda wapi,,,
Wacha zako
Imeshaeleweka unasumbuliwa na upungufu wa fikra pamoja na tongo tongo za machoni...Nimeenda Burundi kutalii.
Ila usisahau kuja na bei ya gauni la Melania Trump.
Hivi Burundi pia ni nje?
Mkuu kwa majibu hayo aibu nimeona mm.
Sasa Burundi ulikwenda kutalii nini? Au kuangalia vifaru vya Jeshi ?