Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

ukiona hivyo ujue kuna watu wanafanya kazi kwa niaba yao
 
Kama ni trader utajuaje siku izi dunia imebadilika usiseme unashinda na watu kijiweni mkajiona mpo sawa, mtu anaingiza 100k kila siku tena asubuh tu kwanini asiende kulewa
 
Mjini mipango, si lazima wote tuingie ofisini!!
Wengine simu zetu ndo ofisi, miamala tu anasoma
ofisi ni mtu aliposimama/kaa hata muhuri wa ikulu unapata.

Mara nyingi wanakuwa madalali ,simu yake ndiyo ofisi.
 
Duu nimekumbuka Dar juzi kati nimeenda mapumziko ya wiki,naamka saa mbili nitoe hangover nakosa eti hairuhusiwi kunywa pombe asubuhi,aisee sasa mimi mgeni niamke nikae kwa TV nasubiri jioni,hii si sawa kabisa,pesa yangu,tra wanataka kodi kutoka mabaani bado still watu hawafanyi biashara
 
walishawahi kukuomba hela? Kama jibu ni hapana basi focus na maisha yako kijana
 
Duu nimekumbuka Dar juzi kati nimeenda mapumziko ya wiki,naamka saa mbili nitoe hangover nakosa eti hairuhusiwi kunywa pombe asubuhi,aisee sasa mimi mgeni niamke nikae kwa TV nasubiri jioni,hii si sawa kabisa,pesa yangu,tra wanataka kodi kutoka mabaani bado still watu hawafanyi biashara
Nikashauriwa na mwenye bar km nina kiu sana nilipie room atanipunguzia bei ili niletewe bia chumbani kwa kuwa sikuwa na namna nikapata room ya 10 nikaanza mdogomdogo mpk jioni ndo kahama kutafuta chimbo la maana
 
Kuna wasela hapa mtaani kila siku yani wanakunywa pombe kila siku
Ipoje hii
Doh!!Inawezekana kabisa ukaw unaishi mtaani kwangu jamaa..
Aya ngoja niwajuliwa kuna uzi wao uku umeanzishwa...
 
Back
Top Bottom