Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

Eti umenipendea nini?? ๐Ÿ˜ณ
Hili jamaa jinga kweli.!!

Mi ningekuwa huyo demu ningemjibu, nimekupendea wowowo lako.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ha ha ha ha nami nilitaka niseme hivyo hivyo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ha ha ha ha nami nilitaka niseme hivyo hivyo ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kafanya nimekumbuka jana dada anayenisaidia kazi home nilichukua simu yake dah.!! Hizo sms za wanaume wanaomtongoza zinachekesha mbavu mpk ziliniuma ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kuna mmoja kamtumia dubwasha lake halafu anamwambia eti โ€œMke wangu watoto wako wananisumbuaโ€ ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Duu haogopi kama simu inaweza potea akaaibika! Sijui nikukosa malezi mabovu au hawajitambui!
 
Ushaingizwa ktk mfumo jombi sasa nikipe mbinu za kuwa nao
Usimchatishe
Usimpigie
Msizungumzie chochote cha mapenz ktk simu zenu
Weka appointment (2pm 123street akifika mwamishe location
Mkoleze ร—10times
Muulize shida ya ndoa yake
 
Ndoa ni utapeli hasa wanawake weusi

Huwa nashangaa MTU anaoa Mimi siwezi kuoa mbantu achilia mbali kuzaa nae .
Hao tomba tu usioe vimeo hivyo, ni mazuri yakiwa ndani we liache hapo kama pambo tu.
Yanapembezesha nyumba.
Ila utaibiwa, zulumiwa, cheating ,kwa ajili ya mtako wake mkubwa km kifaru.
Mi huwa nafukuza,
bora niwe na mjepo wangu kapigwa pasi saafi.
Mambo kubeba kilo 180 huku una kilo 65 nani anataka.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜Hiii kali Huyo m mang'ati wa wapi๐Ÿ˜Ž
 
Hahahaha
 
Siwez bisha aisee kunamtu namuona Yan anaendesha mahusiano nje ya ndoa km yupo single ajabu akirud kushenyentwa anampost mumew I love u my husband๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Siwez bisha aisee kunamtu namuona Yan anaendesha mahusiano nje ya ndoa km yupo single ajabu akirud kushenyentwa anampost mumew I love u my husband๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kuna msemo huwa unasema tabia njema sio kama nguo nzuri ukivaa na ukatoka nje watu watakuona umependeza lakini ukirudi ndani utaivua ile nguo na utabaki vile vile
 
Mabwege ndivyo hupigwa. Amekuona wewe ni bwege na anataka kuendelea kukuchuna. Au hujui mchezo? Mbona hata sisi wanaume kama tunataka kumshawishi mwanamke tulale naye tunatumia maneno kama hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ