tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS.
Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika.
Hivi hii kitu imekaaje? Kuna umuhimu gani wa kujisajili TANEPS kama ni lazima nijisajili kwa taasisi inayotoa zabuni, kabla sijaomba zabuni kupitia TANEPS?