tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa GPSA, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika.
Hivi hii kitu imekaaje? Kuna umuhimu gani wa kuwa mwanachama wa GPSA kama ni lazima nijisajili kwa taasisi inayotoa zabuni, kabla sijaomba zabuni GPSA?
I meant Kujisajili TANEPS. AsanteHaujisajiri GPSA mkuu unajisajir taneps
huko wao ndio wanakuunganisha moja kwa moja GPSA na mkataba unaupata GPSA hapo utakua na haki ya kuomba zabuni kwenye tasisi yoyote ya serikali
Asante. Nilimaanisha kujisajili Taneps. Nimerekebisha. Sasa tuseme unataka uombe tender BoT, je, unapaswa ume mzabuni wa BoT kabla hujatumia TANEPS kuomba zabuni iliyotangazwa nao BoT ndani ya Taneps?Pole kiongozi, ili uombe Gpsa ni lazima usajili we kwenye mfumo wa manunuzi (taneps) kwanza, kwa Maana manunuzi ya umma kwa Sasa yanafanyika kwenye mtandao huo wa Taneps. Then ukifanikiwa kuomba Gpsa na kupata mkataba, hapo tenda za bidhaa mtambuka (common use items) katika mkoa wako zitakufikia direct kila zinapotangazwa kwenye mfumo huo. Kwa hiyo usajili wa kwanza ni taneps alafu Gpsa ili ufanye kazi na taasisi za serikali kwa bidhaa mtambuka.
AsanteHapana, Jisajili taneps na gpsa ili uone hizo zabuni za Bot na taasisi nyengine za serikali. Matangazo ya zabuni yako.ya Aina nyingi... Zipo njia za manunuzi ambazo hata ukiwa Na usajili hutaweza kushiriki mfano kama wana shortlist ya wazabuni kadhaa kwa ajili ya tender fulani na firm yako haiko kwenye hiyo shortlist hautaweza kushiriki zabuni hiyo.....japokuwa sio Mara nyingi kutumika. Pia usajili unaweza kuwepo kwa Maana ya kumbukumbu ya wazabuni wanaofanya nao kazi Mara kwa Mara na wanafahamu performance zao bali hii haizuii mzabuni Mpya kuomba zabuni zao Taneps.
Samahani mkuu, nimekwamba kwenye kujisajili taneps, sehem ya username kila nikijaza inasema invalid username. Naombeni msaadaHaujisajiri GPSA mkuu unajisajir taneps
huko wao ndio wanakuunganisha moja kwa moja GPSA na mkataba unaupata GPSA hapo utakua na haki ya kuomba zabuni kwenye tasisi yoyote ya serikali
Samahani mkuu, nimekwamba kwenye kujisajili taneps, sehem ya username kila nikijaza inasema invalid username. Naombeni msaada
hakuna kitu cha hivyo. jisajili Gpsa omba kazi
Mkuu sasahivi tenda zinatolewa kupitia mfumo TANEPS hasa za serikali...
hio unayosema wewe ilikuwepo lkn zamani kwa sasa ni mfumo tu..