CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
- Thread starter
-
- #201
Hajaolewa na sio sealed.
Yes niko poa sasa!Ile qt course ya kiswahili ulishahitimu? Manake nataka kutoa tamko na nadhani unahitaji mkalimani!
Chakula kinacholowanisha mdomo? Ndo kikoje hicho babu?
asante kwa kunishtua babu....
asante kwa kunishtua babu....
ngoja nikae mkao wa kuangalia goli linavyoingia....
isije ikawa ile ya Ghana kwa world cup? nawe ntakununia kama nilivyomnunia mtu aliniamsha niangalie Ghana wanavyoshinda kwa ile penalty kumbe ndo wakatolewa, lol!
Demu mwenyewe kana kwamba hajui kupendwa aise.
Yani yupo kimyaaaaaaaa lol!
ha haaaa, hapo babu umeni:shut-mouth:.......Hebu tuwekane sawa mkubwa mwenzangu...ina wezakana Ghana zetu zinatofautiana...
Kwani wewe ungependa nani aibuke mshindi??
Mie nadhani msimamo wangu unajulikana...
nawapenda sana wajukuu zangu...
Babu DC!!
Hivi bado hujaishu statement? Utapoteza kibarua baba
Ile qt course ya kiswahili ulishahitimu? Manake nataka kutoa tamko na nadhani unahitaji mkalimani!
Dah!Sasa na wewe unataka kuharibu....
Unadhani umeshachoma mahindi ya kutosha basi??
Mambo mazuri hayataki haraka...shauri lako...
Na pia jifunze kuchagua maneno yenye adabu....sawa??
Babu DC!!
Dalili. Dalili. Dalili
Hebu kwanza mjibu dogo wa watu...
Kwani unashindwa nini kuandika "NDIYO" au "HAPANA" kisha ukabold na ku-underline??
Unataka kuniudhi ujue??
Babu DC!!
Tatizo natumia simu na haijui kuundeline na kubold. Mshauri aniletee walau kalaptop ka apple basi
Basi nimekubali kwamba na wewe unakaribia kuwa mtu wa 1947......
Otherwise, kwa vijana wa dotcom, sasa hivi wangekuwa wanaongelea magoli kibao...
Mie yangu macho...
Babu DC!!
Hehehe hafungwi mtu bao hapa babu. Mie nimedaka one touch kama kichaa na kubaka panzi. Amuulize mwenzie Paw alifukuzia hapa muda gani. Alikanyagia hadi kiatu kikaenda upande na shati likapauka mgongoni. Bado sijaona sababu ya kuacha tikitimaji langu wakati embe ni tunda la msimu.
Ngoja best wangu BAK aje akuwekee kale kawimbo:
nidanganye danganye tuuu......
Ukiniambia ukweli nitaumia.....
Third law: When a first body exerts a force F[SUB]1[/SUB] on a second body, the second body simultaneously exerts a force F[SUB]2[/SUB] = −F[SUB]1[/SUB] on the first body. This means that F[SUB]1[/SUB] and F[SUB]2[/SUB] are equal in magnitude and opposite in direction.
I never say never ila hapa babu ninauhakika 100% so-help-me-God.Haya bwana,
Hata mwizi huwa hawezi kukiri kwamba kaiba bila kujali kwamba kafungiwa kuku shingoni au la....
Tuombe uzima.....
Naamini hata Kongosho hakujua kwamba kuna siku Zombie anaweza kubadilisha mambo yakawa kichwa chini miguu juu....
Mie bado nasubiri hitimisho...
Babu DC!!