Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

Na huyu Paw aliyemshika King'asti natamani nimjue.

Hivi ulitumia ingredients gani kumpenda akapendeka? Mie nagundisha upendo na gundi lakini where.

 
Last edited by a moderator:
Unajuaga ile movoe ya zamani kidogo inaitwa 'why do fools fall in love?'.
Best BAK nisaidie kumuwekea kijana soundtrack ya hiyo movie plz.

Sasa bibie, ebu mjibu tu bandugu huyu walau are alale...tangu jana amekesha kungojea jibulo!!!:nono:
 

Nimesoma kati kati ya mistari. Yapo mengi sana kwenye hyo post. Sitaki kuyabumbulua.
 
Last edited by a moderator:
Ha haa ha ha, no comment!

Unajuaga ile movoe ya zamani kidogo inaitwa 'why do fools fall in love?'.
Best BAK nisaidie kumuwekea kijana soundtrack ya hiyo movie plz.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mandieta, just speak out your mind kwa kutuma maombi rasmi ya urafiki tuu kwa kupitia PM, kwanza you have to be friends, chemistry ikikubali ndipo hayo mengine, yafuatie!. Wenzako tulishatuma maombi ya urafiki kitambo, tuko kwenye waiting list, na wewe tuma tuu huwezi jua!.P.
 
Unajuaga ile movoe ya zamani kidogo inaitwa 'why do fools fall in love?'.
Best BAK nisaidie kumuwekea kijana soundtrack ya hiyo movie plz.

hujajibu swari rangu. Mwenzako siri mpaka unipe jibu.
 
Last edited by a moderator:
Nimem-mista Bishanga kweli

Kwani na wewe huri wala hulali?

Mimi nakura ila silali kutokana na "necha" ya kazi yangu ya u watchman, otherwise ningejileta unifanye zombie part II.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa! Kumbe ndo mbinu yako eeh! Kweli nyani mzee kakwepa mishale mingi. Sasa kama wewe uko busy na kemia, inabidi tuanze kujenga maabara. Nna kiwanja mabwepande cha ekari 10 tu, kitakuwa na buffer zone ili tusidhuru majirani. Si kitafaa?.
 

Baba nawe umepatia hapo hapo kumaliza kero yako....
 
Njoo na zombie tufanye barbecue wikiendi ijayo ukutane nae. Bahati yangu mie ndo sipendeki ila Paw alinilainisha na maneno lama grisi ya kijerumani. Aisee....nampenda hadi najiogopa! Na ananipenda hadi namshangaa. Na nilivyo kimeo sasa! Duh
Na huyu Paw aliyemshika King'asti natamani nimjue.

Hivi ulitumia ingredients gani kumpenda akapendeka? Mie nagundisha upendo na gundi lakini where.
 
Na huyu Paw aliyemshika King'asti natamani nimjue.

Hivi ulitumia ingredients gani kumpenda akapendeka? Mie nagundisha upendo na gundi lakini where.

Ina maana mautundu yako kwa zombie hayajasaidia?
 
He he he, ngoja na mie nije nikanunue gris ya ujeremani, mie nilimpaka ya kisarawe.

Ngoja nimalizie kwanza 'Madly in Madagascar'

Njoo na zombie tufanye barbecue wikiendi ijayo ukutane nae. Bahati yangu mie ndo sipendeki ila Paw alinilainisha na maneno lama grisi ya kijerumani. Aisee....nampenda hadi najiogopa! Na ananipenda hadi namshangaa. Na nilivyo kimeo sasa! Duh
 
Hahahahaaaa! Kumbe ndo mbinu yako eeh! Kweli nyani mzee kakwepa mishale mingi. Sasa kama wewe uko busy na kemia, inabidi tuanze kujenga maabara. Nna kiwanja mabwepande cha ekari 10 tu, kitakuwa na buffer zone ili tusidhuru majirani. Si kitafaa?.
Hilo la kemia ni kwa vijana, mimi lile ombi langu ni la urafiki tuu, kwa sababu tayari niko mid 40s hivyo usumbufu hatupendi, tukipanga kukutana mahali, kila kitu kinaendelea natural tuu, sio kama hizi za vijana wanaoanza kwanza wazungushane wee!. Hilo eneo la ekari 10 liweke tuu akiba, you never know kitaibuka kiepa kingine!, nitakuwekea hapo tujiapartiment twa kutosha!.
Pasco.
 
Sasa naona hii wiki! tusubiri mengi maana watu wapo dodoma wanakula mishikaki!
 
Siri sirari nakuwaza wewe kimwana King'asti, kama bado uko single nifahamishe ili tugusanishe nanihii lol!!! Unalo hilo Best

Unajuaga ile movoe ya zamani kidogo inaitwa 'why do fools fall in love?'.
Best BAK nisaidie kumuwekea kijana soundtrack ya hiyo movie plz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…