Eti kwa umri huu ni mbaya kuwa Freemanson?

Eti kwa umri huu ni mbaya kuwa Freemanson?

Eti Kwa umri nilionao sisahihi kuwa tu Freemanson nipate hela za chapu mie sikuwagi mie nipo 30 something.

Kwani wadau Kuna ubaya ninunue magari , nijenge nyumba za chapu na hela za chapuchapu nimeona watesi wangu ndio wawe vitwana kunaubaya?

Niolewe nipate watoto kiasi ila hawausiki na maagano yangu mie kama mie nishaurini jamani.
Njoo PM nikupe ABC zao .. utachagua mwenyewe sasa
 
mkamateni jamani ajapona vizuri
Huyu mzima na akili zake timamu. Akitaka ku trend anakuja na nyuzi za ajabu ajabu ili mumuongelee. Comment nyingine za kumuita punguani ni zake mwenyewe kwa kutumia ID mbadala.

Hamu yake ya attention ikiisha anakuja kivingine kama dume linalobishana kuhusu mpira na kubaniwa mbupu kwa ndani.
 
Eti Kwa umri nilionao sisahihi kuwa tu Freemanson nipate hela za chapu mie sikuwagi mie nipo 30 something.

Kwani wadau Kuna ubaya ninunue magari , nijenge nyumba za chapu na hela za chapuchapu nimeona watesi wangu ndio wawe vitwana kunaubaya?

Niolewe nipate watoto kiasi ila hawausiki na maagano yangu mie kama mie nishaurini jamani.
Mkuu uwe serious tu watakuinua ukiwa unatania wanajua, nenda Facebook andika Freemasonry Organization
 
Kapicha kidogo please kusindikiza uzi.

Ni kweli ingia tu na naona ka umechelewa maana miaka imeenda kidogo. Na ukitaka connection just PM me.
 
Write your reply...Watu hudhan kujiunga kule ni simple tu kama kunywa maji eti!
 
Back
Top Bottom